Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

Lile kundi la kuihujumu Yanga liko kazini mitandaoni kupost utumbo badala ya kutulia na timu roho Mkwakwani ama kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu
 
Kwa kweli leo hali ya utopolo inatia huzuni sana hadi nimejikuta nawahurumia yani leo nawaombea washinde aisee, mtu mzima kama huyu kuaibishwa kila saa haipendezi kabisa.

Faridi atoke aingie Kaseke anauwezo wa kuforce kwenye match kama hizi na nature ya kiwanja kuliko huyu Faridi.
 
Naaaam
 
Ila tuseme tu ukweli bila ushabiki hili goli la Kisinda lina utata ni dhahili kabisa Kisinda alicheza Faulo kwa beki Cost kabla ya Kufunga goli.

Hili halikustahili kuwa goli ni makosa tu ya mwamuzi.
Bila ya ushabiki Lile Ni goli dhahiri kabisa Wao Walivyomsukuma mwanzo hukuona na Refa akapiga kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…