Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
UNGENISHTUA NIWEKE MKEKAYanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UNGENISHTUA NIWEKE MKEKAYanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
Pamoja sana katika kuiombea mabayaJangwani Mkuu 😂😂😂😂
Aendeee mbuziii yuleeeWatamfukuza kaze sasa hivi
Sio game tu hata majaribu hamtashindaTunashinda Mkuu
Man of the match si mwingine ni Jane Lowasa huyo mganga wako huyo usitembee leoYanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
Nitakutafuta siku nyingine ili nibetYanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
Utakuwa mtoto wa mgangaYanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
mkuu umeamini maneno yanguHapana kwa mpira ulivyo wanaweza kuchomoa Kama wataacha huu utopolo wa kujiangusha ovyo hawa kina Sarpong ananiuzi sana huyu jamaa amekuwa laini laini mno kama Kalinyo.
TAWIREFull time
Mtu katolewa bikra kinyama
Duh..kumbe haka katoto ka Lumumba kako vizuriYanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
Nikitaka kuweka mikeka lazima nikutafute mkuu.Yanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
Wameuchomolea kwa ndani badala ya nje. Bado upo upo sanaLeo mwiko umeingia matakoni kabisa.