Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu saa mbili haifiki kashafika Dar, hawezi kulala kuleKwani kuna habari gani?View attachment 1717254
Watani mimi michezo kwangu ni burudani😆Toka na seat yako katafute chimbo ukae huko peke yako
Kuendelea kukaa hapa ni kujiongezea matatizo
Acha ni flow kwa mistari ya moto, utabiri wako umetimia kama maono ya paroko.../It will turn out to be total shame and disgrace in Yanga! (Ni aibu na fedheha kamili ndani yaTanga)!
Burudani ukiwa unashindaWatani mm michezo kwangu ni burudani😆
burudani ukiwa unashinda
mwangalie vizuri leo mwakalebela utagundua ule ucheshi wake ambao anakuaga nao yanga ikifunga haupo
hiyo inathibitisha kwamba furaha ikikosekana hakuna burudani
Angalau huku michezoni umekuwa mjanja tofauti na kule jukwaa letu pendwa huwa unakuwa na utopolo mwingi mnoo🤣🤣Mautopolooooooo 😂😂😂😂😂😂😂
Mkuu odds zilikaaje?Hawa utopolo kwa sasa siyo wa kubet kushinda, elfu 2 yangu imechukuliwa hivi hivi tena na demu bana....
Leo umenifurahisha sana mrembo 😍Yanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
Nipe matokeo mkuu, nani kachezea kichapo?Hao coastal Union leo wanachezea kichapo hapo hapo kwao, hakuna wa kuzuia kipigo kitakacho wakuta