Fala in advance!Siwezi kulipwa milioni tano su nikala ugali na sukari nikakupa pasi ili ufunge.
Kocha Nabi alikuwa snalipwa milioni 35,mzee wa kutetema sasa rasmi kuwa mchezaji ghali africa mashariki nzima,,,
Simba mna hofu!Mayele kama ana akili angeondoka mapema.. uarabuni
Hofu ya nini?Simba mna hofu!
Akikujibu nitagHofu ya nini?
Wewe mwenye akili mbona upo hapo mburahatiMayele kama ana akili angeondoka mapema.. uarabuni
Tabu ipo pale paleHofu ya nini?
anastahiliSiwezi kulipwa milioni tano tu nikala ugali na sukari nikakupa pasi ili ufunge.
Kocha Nabi alikuwa analipwa milioni 35, mzee wa kutetema sasa rasmi kuwa mchezaji ghali Afrika Mashariki nzima.
Ila kwa starehe za Dar es Salaam msimu ujao akifilisha goli 12 mniite fala.
More money poor performance.
Yaani huyo jamaa yako anaona Mayele kubaki Yanga ameharibu mpaka awe na shaka na akili yake?Hofu ya nini?
Mkumbushe aku-tag basi!Akikujibu nitag
Yaani hawaamini! Wako wanatangaza vi Duchu huko!Tabu ipo pale paleView attachment 2684257
Nani kakuambia?Siwezi kulipwa milioni tano tu nikala ugali na sukari nikakupa pasi ili ufunge.
Kocha Nabi alikuwa analipwa milioni 35, mzee wa kutetema sasa rasmi kuwa mchezaji ghali Afrika Mashariki nzima.
Ila kwa starehe za Dar es Salaam msimu ujao akifilisha goli 12 mniite fala.
More money poor performance.
Wewe ni fala in advanceSiwezi kulipwa milioni tano tu nikala ugali na sukari nikakupa pasi ili ufunge.