Yanga yakubali yaishe, kumlipa Mayele Milioni 40 ili abaki. Tutegemee hujuma kutoka kwa wachezaji wenzake

Yanga yakubali yaishe, kumlipa Mayele Milioni 40 ili abaki. Tutegemee hujuma kutoka kwa wachezaji wenzake

Siwezi kulipwa milioni tano tu nikala ugali na sukari nikakupa pasi ili ufunge.

Kocha Nabi alikuwa analipwa milioni 35, mzee wa kutetema sasa rasmi kuwa mchezaji ghali Afrika Mashariki nzima.

Ila kwa starehe za Dar es Salaam msimu ujao akifilisha goli 12 mniite fala.

More money poor performance.
Na wangeshindwana pia ungekuja na stori ya kubeza tu. Pathetic!
 
Yaani mashabiki wa simba hamjui mnalolitaka!
 
Huu Ni uninga sna tumefanya kumlipa mayela pesa zote hzo bila sababu Bora tungemuuza tu kwa hasara ila siyo kubaki pale kudidimizawachezaji wengine wazaa haswaa


Safari yanga tutapoteana
Wewe siyo Yanga!
 
Back
Top Bottom