Yanga yakubali yaishe, kumlipa Mayele Milioni 40 ili abaki. Tutegemee hujuma kutoka kwa wachezaji wenzake

Maumivu ya moyo.
 
Sidhani atafikia kiwango walichofikiria wangekula hela tu mwakani ata floppy mbaya
 
Wanasimba hebu tuachane na mambo ya yanga hayo hayatuhusu, tujengeni timu yetu kwaajili ya new season isije ikafika December tukaanza tena kusema mambo ya bahasha, kumbe tulikosea kwenye usajiri wa quality players
 
Unalia nini sasa?
Mambo ya wananchi yanakuhusu nini?
Wananchi wamezuia furaha yako sio?
 
Huu Ni uninga sna tumefanya kumlipa mayela pesa zote hzo bila sababu Bora tungemuuza tu kwa hasara ila siyo kubaki pale kudidimizawachezaji wengine wazaa haswaa


Safari yanga tutapoteana
 
Sio nyingi kwa kiwango alichoonyesha, ni fair. Swali ni kwamba, kwanini Yanga haikuopt kumuuza kwa pesa nzuri?
 
Hiyo million 40 angeenda uarabuni angeipata hata mara 10.
 
Ronaldo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…