Safi sana hii kama ni kweli, maana hii mijamaa ni mitaahira promax.zimeshafikaaa mkuuu
Ikiwezekana hata uenyeji wa CHAN na AFCON tunyang'anywe maana TANZANIA sio mahali salama kwa wapenda soka wastaarabu.
Katika Hali ya kawaida tusingetarajia Serikali au viongozi wa Chama mwenyeji kulifumbia macho na mdomo.
Na ikiwezekana home ground za timu za Tanzania (klabu na taifa) ziwe nje ya Tanzania ili tutie akili.