Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

Inasikitisha sana uadui wanaotaka kuuanzisha simba siku yakiwakuta tusisikie kelele humu.

Watu wanajitoa akili kutetea ule udhalilishaji tena mtu yupo na watoto wake na mke hapo hapo wanapiga kama kawaibia.

Ipo siku kitawaramba. Karma huwa haikosei address
Mlianzisha nyinyi Utopolo, wakati mechi moja hivi mlikandwa mshabiki wa simba wakati anahojiwa Mabaunsa wenu Nyuma Mwiko mlimpiga na Ally Kamwe aliona, kimsingi mashabiki wenu mlianza Mnyama anamaliza.
 
Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Kupitia taarifa hiyo, klabu hiyo imeomba mamlaka husika kuchukua hatua kali dhidi ya waliohusika na imetoa pole kwa mashabiki walioathirika.

Vilevile, Yanga imewasihi mashabiki wake kuendelea kudumisha ustaarabu, kutolipiza kisasi, na kuendeleza mazingira ya amani na mshikamano katika viwanja vya soka.

Ujinga ulioje. Hawa ndio aina ya mashabiki ambao wanaweza hata kujidhuru kisha timu sijui imefanyaje,wasiojua maana ya burudani.
Mtu amekuja kuwasapoti mnamfanyia vurugu na kumpiga mateke kweli?
 
Tusiwe WANAFIKI, uhassama huu wa hizi timu mbili umechangiwa na viongozi wa hizi timu mbili, waandishi wa habari wa michezo na wachambuzi ambao kwa Sasa si ajabu kila mmoja hua anaongelea upande anaoshabikia. Kwahio tusianze kulaumu na kuwaona Simba wabaya,,nyie mnashangaa ya Simba na yanga, je huko misri, Kenya,? tusianze kutafuta mchawi nani. Na vitu vingine hua unajitafutia tu sababu, wewe ushaambiwa jezi ni nyekundu , wewe unavaa jezi ya timu ya yanga..mbona ni kujitafutia tu shida, ungetulia tu nyumbani kwako , na zaidi unaenda na watoto huo ni uzembe na kutafuta sababu tu kuichafua taswira ya klabu ili kuonesha Simba ni wabaya. Kitakachokupata ni uzembe wako mwenyewe wa kutotumia akili.
 
Mlianzisha nyinyi Utopolo, wakati mechi moja hivi mlikandwa mshabiki wa simba wakati anahojiwa Mabaunsa wenu Nyuma Mwiko mlimpiga na Ally Kamwe aliona, kimsingi mashabiki wenu mlianza Mnyama anamaliza.
Wanajitoa ufahamu..halafu wanaanza kulaumu Simba. Niwaambie tu Simba sports club wachezaji waliandaliwa kiakili tangu mwanzo kua vita itakua kubwa uwanjani tutakua tunacheza na timu zaidi ya tatu ama nne kabisa tumejiandaa..
 
Tusiwe WANAFIKI, uhassama huu wa hizi timu mbili umechangiwa na viongozi wa hizi timu mbili, waandishi wa habari wa michezo na wachambuzi ambao kwa Sasa si ajabu kila mmoja hua anaongelea upande anaoshabikia. Kwahio tusianze kulaumu na kuwaona Simba wabaya,,nyie mnashangaa ya Simba na yanga, je huko misri, Kenya,? tusianze kutafuta mchawi nani. Na vitu vingine hua unajitafutia tu sababu, wewe ushaambiwa jezi ni nyekundu , wewe unavaa jezi ya timu ya yanga..mbona ni kujitafutia tu shida, ungetulia tu nyumbani kwako , na zaidi unaenda na watoto huo ni uzembe na kutafuta sababu tu kuichafua taswira ya klabu ili kuonesha Simba ni wabaya. Kitakachokupata ni uzembe wako mwenyewe wa kutotumia akili.
We nae mbumbumbu hujielewi unaanza kusema tusiwe wanafki halafu unaelemea upande mmoja yaani umebariki Hilo tukio
 
Wanajitoa ufahamu..halafu wanaanza kulaumu Simba. Niwaambie tu Simba sports club wachezaji waliandaliwa kiakili tangu mwanzo kua vita itakua kubwa uwanjani tutakua tunacheza na timu zaidi ya tatu ama nne kabisa tumejiandaa..
Mashabiki masikini ndio mnaakili hizo
 
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu...wao walimpiga yule shabiki wa Simba siku ile tena makofi ya hadharani ila hatukusikia Simba ikisema lolote...walianzisha wao chuki hao nyuma mwiko...na ni ushamba wa hali juu...Tena wapo wanaojiita mabaunsa wa Yanga wakikuta mtu anahojiwa anaipinga timu yao au kuisema wasiyotaka kuyasikia walikua wanawapiga sio mmoja video zipo...kuna mmoja walimkimbiza na kumpiga mpk huruma....
Hili walilianzisha wao walinywe....
Japo sio vzr kama watanzania...
Kisasi ni haki!!, viongozi wa simba walitamka hadharani. Tutalipa na tutalipa. Simba wameumiza sisi tutaua🔪🔪🔪
 
Daah!
Acha bi mkubwa afurahi.
Life fupi hili.
Washabiki wa yanga hamnazo juzi bi mkubwa wangu anapigia simu sanane za usiku tena video call eti anazomea atujabeba , nimekata kwa hasira na huduma ya bia mbili kila siku zilizokuwa nimemwekea oda pale kwa mangi nimezikata ,ubwaya ubwela.
 
Back
Top Bottom