DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Kumbe umenielewa eeh, vizuri sana mtoto mzuri.Bado mechi zipo
Kisasi kitalipwa
Kumbe umenielewa eeh, vizuri sana mtoto mzuri.Bado mechi zipo
Kisasi kitalipwa
Amehatarisha usalama wake Kwan aliingia kwenye moto?Namlaan alie fanya fujo namlaani pia nayeye kwa kuhatarisha usalama wa familia yake nikiunganisha na post ya mdau #68 uirudie kuisoma kwa makin
Hayo ni ya uongoziKwa hiyo unapingana na uongozi wako?
Sawa na hiyo haitakuwa mara ya kwanza kwa mashabiki wa uto kuwadhuru mashabiki wa Simba na wa timu zingine.Hayo ni ya uongozi
Sisi mashabiki tunasema hili halitapita hivi hivi
Ilikuwa haki kuwapiga Watanzania wenzenu huko ZanzibarSawa na hiyo haitakuwa mara ya kwanza kwa mashabiki wa uto kuwadhuru mashabiki wa Simba na wa timu zingine.
Haitakuwa mara ya kwanza nyie kufanya hivyoIlikuwa haki kuwapiga Watanzania wenzenu huko Zanzibar
Sasa na sisi tunawapiga
Ni Aibu sana Kitendo cha kupiganaUongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Kupitia taarifa hiyo, klabu hiyo imeomba mamlaka husika kuchukua hatua kali dhidi ya waliohusika na imetoa pole kwa mashabiki walioathirika.
Vilevile, Yanga imewasihi mashabiki wake kuendelea kudumisha ustaarabu, kutolipiza kisasi, na kuendeleza mazingira ya amani na mshikamano katika viwanja vya soka.
Mashabiki wa Yanga siku zote ni waastarabuHaitakuwa mara ya kwanza nyie kufanya hivyo
Hongereni ila msijazane ujinga. Vingunguti wenzenu wanawasoma wanadhani mko serious na hivi viwaraka vyenu, matokeo yake wanafanya ujinga kama huu. Siku nyingine utawagharimu zaidi kwa kukosa tu common sense.Mashabiki wa Yanga siku zote ni waastarabu
Huwa wanachangamana na wale wa Simba na kufurahia Burudani
Wewe kama umeona Watanzania waliofika uwanjani kushambuliwa, kudhalilishwa na kupigwa ni sawa, basi hata likitokea mashabiki wa Simba wakapigwa wote tukae kimyaHongereni ila msijazane ujinga. Vingunguti wenzenu wanawasoma wanadhani mko serious na hivi viwaraka vyenu, matokeo yake wanafanya ujinga kama huu. Siku nyingine utawagharimu zaidi kwa kukosa tu common sense.
Tulipaza sauti mshabiki wa Simba anayejiita "Dr. Mohamed" alipopigwa mbele ya msemaji wa uto Ali Kamwe. Tulipaza sauti mzee wa uto anayeitwa Mzee Mpili alipompiga mwandishi wa habari. Haya matukio yote yalitokea kabla ya mechi ya Simba vs Berkane.Wewe kama umeona Watanzania waliofika uwanjani kushambuliwa, kudhalilishwa na kupigwa ni sawa, basi hata likitokea mashabiki wa Simba wakapigwa wote tukae kimya
Tuwe tunapigana tu
Hujui kama watu wanaenda uwanjani kutazama Burudani ya mpira?Walienda kufanya nini huko.
Namlaan alie fanya fujo namlaani pia nayeye kwa kuhatarisha usalama wa familia yake nikiunganisha na post ya mdau#Ulitaka achukue tahadhari Gani aingie na bunduki au kisu
Alikuwa uwanjani kihalali alilipa viingilio akaenda kutazama mpira kama wale waliompiga walivolipa
Badala ulaani waliompiga msamalia mwema wewe unalalamika ati kwanini hajaenda
Leta taarifa ya Simba kulaani tukio la kupigwa Kwa Wanachama na mashabiki wao kama alivofanya YangaTulipaza sauti mshabiki wa Simba anayejiita "Dr. Mohamed" alipopigwa mbele ya msemaji wa uto Ali Kamwe. Tulipaza sauti mzee wa uto anayeitwa Mzee Mpili alipompiga mwandishi wa habari. Haya matukio yote yalitokea kabla ya mechi ya Simba vs Berkane.
Jilaani hata wewe mwenyewe Kwa kukosa maarifaNamlaan alie fanya fujo namlaani pia nayeye kwa kuhatarisha usalama wa familia yake nikiunganisha na post ya mdau#
Yanga walikuwa wanatafuta nini kwenye fainali ya Simba?Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Kupitia taarifa hiyo, klabu hiyo imeomba mamlaka husika kuchukua hatua kali dhidi ya waliohusika na imetoa pole kwa mashabiki walioathirika.
Vilevile, Yanga imewasihi mashabiki wake kuendelea kudumisha ustaarabu, kutolipiza kisasi, na kuendeleza mazingira ya amani na mshikamano katika viwanja vya soka.
Kwani Simba alikuwa anacheza dhidi ya SimbaYanga walikuwa wanatafuta nini kwenye fainali ya Simba?
Acheni kutafuta umaarufu rahisi rahisi kupitia mechi za Simba!
Utopwinyoooooooooooooo🙉Jilaani hata wewe mwenyewe Kwa kukosa maarifa
Ukienda kwa watu kua mustaarabu ,muwemunakuja hatuwakatazi ila unakaasehemu unayotakiwa ndio maana Kuna upande wa mwenyeji na mgeni kaeni Kwa wageniUongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Kupitia taarifa hiyo, klabu hiyo imeomba mamlaka husika kuchukua hatua kali dhidi ya waliohusika na imetoa pole kwa mashabiki walioathirika.
Vilevile, Yanga imewasihi mashabiki wake kuendelea kudumisha ustaarabu, kutolipiza kisasi, na kuendeleza mazingira ya amani na mshikamano katika viwanja vya soka.