Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

Unaanza story za kusadikika. Eti wamevamiwa!

Kwa hiyo wavamiwe airport na hotelini ila uwanjani wasibughudhiwe ila mashabiki wa uto waliojipeleka katika shughuli isiyowahusu?
Na uwanjani walibughudhiwa pia
Mbona video zimeenea
 
Sijaziona wala kuzisikia na hawakutolewa majukwaani kama hawa wa uto ambao wamevamia shughuli siyo yao
Walivamia vipi watu wamelipa viungilio, akaingia na ticket yake halali
Kwanini umvamie mtu
 
Kwanini wampige shabiki aliyelipa kiingilio amekaa anaitazama Burudani, hajatukana mtu, ameketi na familia yake
Hakuwazuia kushangilia timu Yao
Kwanini wamdhalilishe na kumpiga
Mtu amelipia ticket yake
Elewa mkuu lile nikunyanyiko la watu na tabia mbal mbali kuchukua tahathiri nijukum lako usisubiri likukute pale wengne wanakuja washakunywa visungura mix bange unategemea hekima kutoka kwawatuhaoo?
 
Elewa mkuu lile nikunyanyiko la watu na tabia mbal mbali kuchukua tahathiri nijukum lako usisubiri likukute pale wengne wanakuja washakunywa visungura mix bange unategemea hekima kutoka kwawatuhaoo?
Ulitaka achukue tahadhari Gani aingie na bunduki au kisu
Alikuwa uwanjani kihalali alilipa viingilio akaenda kutazama mpira kama wale waliompiga walivolipa

Badala ulaani waliompiga msamalia mwema wewe unalalamika ati kwanini hajaenda
 
Walivamia vipi watu wamelipa viungilio, akaingia na ticket yake halali
Kwanini umvamie mtu
Sawa. Na wewe siku mnacheza na waarabu huko kwao, vaa kajezi kako ka gsm halafu nenda kakae na wale mashabiki wao wanaoitwa ultra. Wakitaka kukufanya chochote, waonyeshe huo waraka watanywea wenyewe.
 
Sawa. Na wewe siku mnacheza na waarabu huko kwao, vaa kajezi kako ka gsm halafu nenda kakae na wale mashabiki wao wanaoitwa ultra. Wakitaka kukufanya chochote, waonyeshe huo waraka watanywea wenyewe.
Uarabuni watu wameenda na wamerudi salama
 
Ulitaka achukue tahadhari Gani aingie na bunduki au kisu
Alikuwa uwanjani kihalali alilipa viingilio akaenda kutazama mpira kama wale waliompiga walivolipa

Badala ulaani waliompiga msamalia mwema wewe unalalamika ati kwanini hajaenda
Namlaan alie fanya fujo namlaani pia nayeye kwa kuhatarisha usalama wa familia yake nikiunganisha na post ya mdau #68 uirudie kuisoma kwa makin
 
Inasikitisha sana uadui wanaotaka kuuanzisha simba siku yakiwakuta tusisikie kelele humu.

Watu wanajitoa akili kutetea ule udhalilishaji tena mtu yupo na watoto wake na mke hapo hapo wanapiga kama kawaibia.

Ipo siku kitawaramba. Karma huwa haikosei address
Yanga ndo waasisi kipind tunakemea mlikuwa mnaona watu wajinga
 
Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Kupitia taarifa hiyo, klabu hiyo imeomba mamlaka husika kuchukua hatua kali dhidi ya waliohusika na imetoa pole kwa mashabiki walioathirika.

Vilevile, Yanga imewasihi mashabiki wake kuendelea kudumisha ustaarabu, kutolipiza kisasi, na kuendeleza mazingira ya amani na mshikamano katika viwanja vya soka.

sisi kama mashabiki tumeumia sana hiyo 15th june chezeni ili mtulipie kisasi uwanjani ili turidhike kolo apigwe 5 au 7
 
Back
Top Bottom