Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
usi mpwaaaaa weweee unawezakutananamwanaoo ukaliaaaHuko napasikiaga tu ,sijawahi jiunga toka nimezaliwa wakwetu.
usi mpwaaaaa weweee unawezakutananamwanaoo ukaliaaaHuko napasikiaga tu ,sijawahi jiunga toka nimezaliwa wakwetu.
Daah sijui hali yako kwa sasa itakua ikoje ukichanganya na utopolo wako lazima uchizike....hahahampwaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimekujaaa bunju nyumba ndogoo naona kanitayarishiaaaa mbegee na konyagi sijui anachikitaka kwangu hapaa nimemaliza nusu bapaa nasikiakuharishauchaguzi
hahahahaaakaipa2025Ahahha na mm najua ni mchaga sema tuu nimetaka nimrushe huko Kigoma akapumzike kwanza...na ninamfahamu kabisa yy hawezi nifahamu... 😆 😆 😆 😆
Yani waliapa kabisa kwa jina la Mungu Simba haichukui ubingwa na yule makamu wao wa rais akasema yuko Zanz kwa kazi maalumu hivi watu wa hivyo kweli ni utani au ni nini?Badala ya kufundishana common sense wanakuja kulialia mitandaoni kutafuta huruma.
Yaani viongozi wako na mashabiki wenzio wameapa kufanya kila wawezalo kuhakikisha Simba haichukui ubingwa na dalili za hizo juhudi zao zikaanza kuonekana. Simba wakatoa onyo vingunguti wowote wasikanyage uwanjani, halafu wewe na kajezi kako ka gsm unajileta halafu mbaya zaidi unakaa katikati ya mashabiki wa Simba.
Ashukuru sana siku hizi kuna ustaarabu na camera nyingi viwanjani.
Mangi tuachie pombe sisi watabe asee, hilo fuvu lako , ipo siku litabasti bwasheempwaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimekujaaa bunju nyumba ndogoo naona kanitayarishiaaaa mbegee na konyagi sijui anachikitaka kwangu hapaa nimemaliza nusu bapaa nasikiakuharishauchaguzi
Masawe akutoe nduki unazengea pombe za bure bwashee 😆VID ZA HURUMA NA AIBU SANA HIZI AISEE UNAWATOA WATOTO KWA AIBU HIVI
RUNGU LA CAF HALIWAACHII NIKO KWA MASSAWE
Mimi nawashangaa sana. Halafu wanajisahaulisha jinsi ambavyo huwa wanawapiga mashabiki wa Simba mara kwa mara na ni miezi michache tu iliyopita walifanya hivyo.Yani waliapa kabisa kwa jina la Mungu Simba haichukui ubingwa na yule makamu wao wa rais akasema yuko Zanz kwa kazi maalumu hivi watu wa hivyo kweli ni utani au ni nini?
Bwashee ntakeee radhiii leo tar 26 Bwasheee yaan nasaini kwa kusimama nikizidisha hela niliokuwa nayo yaan bwashee nazengea zile zw kawe kwa wanajeshi wale 15-20 sihaba nikifika wakati wangu nawazungushia tumemaliza 30daysMasawe akutoe nduki unazengea pombe za bure bwashee 😆
niacheee Pombee ninywee.Mangi tuachie pombe sisi watabe asee, hilo fuvu lako , ipo siku litabasti bwashee
Ule uhuni haukubaliki...Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Kupitia taarifa hiyo, klabu hiyo imeomba mamlaka husika kuchukua hatua kali dhidi ya waliohusika na imetoa pole kwa mashabiki walioathirika.
Vilevile, Yanga imewasihi mashabiki wake kuendelea kudumisha ustaarabu, kutolipiza kisasi, na kuendeleza mazingira ya amani na mshikamano katika viwanja vya soka.
Bwashee Mwanaume ana mawiliMangi tuachie pombe sisi watabe asee, hilo fuvu lako , ipo siku litabasti bwashee
Kula pombe bwasheeBwashee Mwanaume ana mawili
1 Pombe
2.Chiu
akikosa kimoja mlevi wa kingine sasa huko no 2
najijua udhaifu wangu m kula asali kwenye pladtic siwezagi Bwashee ama utaki nionaa tena hapaaa uwii
nalooo Nenook BwasheeeeeKula pombe bwashee
Hawawezi nilipa bwashee, hata kama uwezo wanao wataona wivu kwa pesa nitakazozidaka na figisu zitakua nyingi🤣🤣nalooo Nenook Bwasheeeee
mama akukumbuke hata uteuzi ujaoo Bwashee tuwe na member walio...
Sasa busier hauna akili, kosa moja lisisababishe kosa lingine huwa sio kosa? Kama simba hawakushtaki wala kulalamika hilo sio tatizo la yanga ni tatizo la simba....usiishi na mentality za kipuuzi kama hizo...one mistake doesnt justify another one just because the other one was not reported or worked upon....Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu...wao walimpiga yule shabiki wa Simba siku ile tena makofi ya hadharani ila hatukusikia Simba ikisema lolote...walianzisha wao chuki hao nyuma mwiko...na ni ushamba wa hali juu...Tena wapo wanaojiita mabaunsa wa Yanga wakikuta mtu anahojiwa anaipinga timu yao au kuisema wasiyotaka kuyasikia walikua wanawapiga sio mmoja video zipo...kuna mmoja walimkimbiza na kumpiga mpk huruma....
Hili walilianzisha wao walinywe....
Japo sio vzr kama watanzania...
Hahaaa Bwashee sema unaogopa kudukuliwa statement wakenya wamekuwa mashetani weusi uwiiiHawawezi nilipa bwashee, hata kama uwezo wanao wataona wivu kwa pesa nitakazozidaka na figisu zitakua nyingi🤣🤣
Hahahaha mimi mwenyewe mdukuaji😁Hahaaa Bwashee sema unaogopa kudukuliwa statement wakenya wamekuwa mashetani weusi uwiii