Hatucheki na yeyoteJamaniii mpk bi mkubwa tena ahahahaa
Nimechaka sana 😆 😆 😆 😆 😆Hatucheki na yeyote
Huko napasikiaga tu ,sijawahi jiunga toka nimezaliwa wakwetu.Nimechaka sana 😆 😆 😆 😆 😆
Kwani huko instagram habari kubwa ni nini wa kwetu siku hz sipo instagram ina upuuzi mwingi...
Kuandika kwenyewe hujui utawaweza Simba?TU AWASUBIRIA CRDB HAO WASHENZI
Huyu jamaa nahisi ni mchina ,I'd yake ya toka 2007 ila kiswahili bado tu.Kuandika kwenyewe hujui utawaweza Simba?
Lini wataenda 'CAS'???Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Kupitia taarifa hiyo, klabu hiyo imeomba mamlaka husika kuchukua hatua kali dhidi ya waliohusika na imetoa pole kwa mashabiki walioathirika.
Vilevile, Yanga imewasihi mashabiki wake kuendelea kudumisha ustaarabu, kutolipiza kisasi, na kuendeleza mazingira ya amani na mshikamano katika viwanja vya soka.
Ujinga tuPakia video,wengine hawakuona.
Ni Muha wa kigoma huyuHuyu jamaa nahisi ni mchina ,I'd yake ya toka 2007 ila kiswahili bado tu.
Ni mchaga huyu sema anachati huku akiwa kwenye vitu virefu wa kwetu😁Ni Muha wa kigoma huyu
Ahahha na mm najua ni mchaga sema tuu nimetaka nimrushe huko Kigoma akapumzike kwanza...na ninamfahamu kabisa yy hawezi nifahamu... 😆 😆 😆 😆Ni mchaga huyu sema anachati huku akiwa kwenye vitu virefu wa kwetu😁
Basi mbumbumbu mnafurahiMkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu...wao walimpiga yule shabiki wa Simba siku ile tena makofi ya hadharani ila hatukusikia Simba ikisema lolote...walianzisha wao chuki hao nyuma mwiko...na ni ushamba wa hali juu...Tena wapo wanaojiita mabaunsa wa Yanga wakikuta mtu anahojiwa anaipinga timu yao au kuisema wasiyotaka kuyasikia walikua wanawapiga sio mmoja video zipo...kuna mmoja walimkimbiza na kumpiga mpk huruma....
Hili walilianzisha wao walinywe....
Japo sio vzr kama watanzania...
Karia na bodi ya ligi hawawez kuangaika na Hilo tukio ,,Niamn mm hata kukemea tuu hatawezaUongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Kupitia taarifa hiyo, klabu hiyo imeomba mamlaka husika kuchukua hatua kali dhidi ya waliohusika na imetoa pole kwa mashabiki walioathirika.
Vilevile, Yanga imewasihi mashabiki wake kuendelea kudumisha ustaarabu, kutolipiza kisasi, na kuendeleza mazingira ya amani na mshikamano katika viwanja vya soka.
Kama nyie mazuzu mlivyofurahi....Basi mbumbumbu mnafurahi
mpwaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimekujaaa bunju nyumba ndogoo naona kanitayarishiaaaa mbegee na konyagi sijui anachikitaka kwangu hapaa nimemaliza nusu bapaa nasikiakuharishauchaguziNi mchaga huyu sema anachati huku akiwa kwenye vitu virefu wa kwetu😁
Msyuuuu 😉😉😉😉kwa maisha ya sasa jamiiforums naingia nikiwa bar tu mtakachopatapokeenikamahamjalipiademaammeensijaleeewaaasijalewaaadj nipeee natakakusahaushidaaaleteepombeesijalewaa turmekouja nabikombeeepombegee