Ameshamaliza zake za sakafuni, ngoja sasa waanze naye.Dogo ana nyanyasika sana
Upumbavu na ujinga na umbumbumbu wake ndio unafanya atesekeDogo ana nyanyasika sana
Hanyanyasiki anajua anachofanya. Wanyonge ndo wananyanyasika huyu haonekani kama ni mnyonge ana nguvu inayompa ujasiri wa kuwavimbia Yanga.Dogo ana nyanyasika sana
LabNaskia kuna tetesi dogo kapeleka kesi CAS
Mtu mkubwa sana huyo, hawezi kunyanyasika. Wanamsingizia tu.Hanyanyasiki anajua anachofanya. Wanyonge ndo wananyanyasika huyu haonekani kama ni mnyonge ana nguvu inayompa ujasiri wa kuwavimbia Yanga.
Ingekuwa Yanga inamfukuza bila maslahi tungesema ananyanyasika. Huyu hataki kukaa na Yanga, Hataki mshahara wa Yanga, Hataki hata kusikilizana nao. Sioni manyanyaso hapo zaidi ya jeuri. Na hakuna mtu ataleta jeuri bila maslahi.Ameshamaliza zake za sakafuni, ngoja sasa waanze naye.
Ni mchezaji wao aliyamua kujinyanyasa, itabidi anyanyasike tu, hakuna namna.
Kipindi kile ilikuwa kila Yanga anapokaribia kwenye mechi kubwa halafu ikaonekana Feisali ameenda TFF kuhusu swala lake na Yanga, ikitafsiriwa kama njia ya kuwatoa Yanga mchezoniAmeshamaliza zake za sakafuni, ngoja sasa waanze naye.
Ni mchezaji wao aliyamua kujinyanyasa, itabidi anyanyasike tu, hakuna namna.
Masponsor wanampa kiburi,ila kuondoka kwake hakujaweza kuharibu move ya Yanga kuelekea kuchukua Vikombe,so wampe soft exit akapambanie maisha mbele.Hanyanyasiki anajua anachofanya. Wanyonge ndo wananyanyasika huyu haonekani kama ni mnyonge ana nguvu inayompa ujasiri wa kuwavimbia Yanga.
Hersi alisema Yanga ilimboreshea maslahi yake kutoka 1.5M hadi 4M.Hanyanyasiki anajua anachofanya. Wanyonge ndo wananyanyasika huyu haonekani kama ni mnyonge ana nguvu inayompa ujasiri wa kuwavimbia Yanga.
CAS wakitoa majibu kuwa maamuzi yaliyotolewa na TFF hayakuzingatia kanuni za FIFA mtasemaje?Lab
Mtu mkubwa sana huyo, hawezi kunyanyasika. Wanamsingizia tu.
Kwa style aliyoitumia huyu hata waliomdanganya hawatamtaka tena, sanasana watamuunganishia akachezee Mlandege au Small Simba
Mjini kuna mambo mengi sana huwezi kuamini kwamba mtu anayejiita tajir namna moja anahisika na huu upuuzi wa huyu kijanaHersi alisema Yanga ilimboreshea maslahi yake kutoka 1.5M hadi 4M.
Na anakiri kuwa Feisali ni mchezaji ambaye hajawahi kuwa na nidhamu mbovu au jambo lolote la kutilia shaka kwenye taaluma yake
The question is, what changed him?
Mtu mzima huyo. Anajua anataka nini. Kwani Yanga club ndogo? Inakubembeleza njoo tuongee hutaki? Mwajiriwa gani hataki mshahara? Ukiona mwajiriwa anakataa mshahara basi anauhakika kuna sehemu nyingine amepata kikubwa zaidi.Lab
Mtu mkubwa sana huyo, hawezi kunyanyasika. Wanamsingizia tu.
Kwa style aliyoitumia huyu hata waliomdanganya hawatamtaka tena, sanasana watamuunganishia akachezee Mlandege au Small Simba
Maadam mkondo wa sheria na utaratibu utafuatwa na bila shaka wakiainisha hayo mapungufu kutakuwa hakuna namna. Itabidi Yanga kujifunza, si kila wakati au kila hatua utakuwa mshindi. Kuna kipindi unaondolewa kabisa kwenye game, iwe kihalali au kidhuruma, halafu njia ileile uliyodondoshewa ikakupeleka kwenye ushindi.CAS wakitoa majibu kuwa maamuzi yaliyotolewa na TFF hayakuzingatia kanuni za FIFA mtasemaje?