Yanga yamshitaki Feisali Salum kwenye kamati ya nidhamu

Yanga yamshitaki Feisali Salum kwenye kamati ya nidhamu

Kazini watu wanaenda kutafuta maslahi. Hata hizo kazi zimefunguliwa ni kutafuta maslahi. Hapo kinachokushangaza nn kama Fei anatafuta maslahi? Binafsi ndio katika ujana wangu nimeshawahi ondoka kazini kwa mhindi kwa notice ya masaa 24. Yaani niache maslahi ya maana sababu natakiwa nikae kikao na nani sijui kutoka India? Unadhani Yanga wanapigania nn zaidi ya maslahi yao kwa Fei?
Hiyo 24hrs notice ni njia mojawapo sahihi ya kuvunja mkataba uliyoifata. Turudi kwa feisal hatua aliyochukua kuvunja mkataba haina mashiko.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kamati ya Sheria na Nidhamu ya Young Africans imemuelekeza Feisal kuwasilisha utetezi wake juu ya tuhuma zinazomkabili ndani ya siku 7.

Pia Kamati imemuelekeza kuhudhuria Kikao cha Kamati ya Sheria na Nidhamu kitakachosikiliza mashtaka dhidi yake jana tar 24 Mei 2023 pamoja na muwakilishi wake (endapo angependa kufanya hivyo) ili kusikiliza yeye pamoja na mlalamikaji na kufanya maamuzi juu ya tuhuma zinazomkabili

Endapo atashindwa kuwasilisha utetezi wa maandishi dhidi ya tuhuma zinazomkabili ndani ya muda au kutofika kwenye kikao, basi kikao kitaendelea bila uwepo wake.

View attachment 2634178View attachment 2634177

Hii move ya kummaliza, ingawa dogo ni fala wa kutupwa, lakini wangemsamehe tu na kumuacha, Shule ni Muhimu sana.

Naona faida moja tu ya kudeal ya huyu dogo ni kuweka precedes kwamba sio vyema kucheza na mikataba.

Dodo atatoka hapo, atasogezwa kwenye mashtaka ya vyombo vingine, kwa nini watu hawamshauri huyu dogo akatulia?
 
Kamati ya maadili iiwaita Yanga kuthibitisha hizi taarifa na walishindwa.

So hizi bado ni speculations tu ambazo kila mtu anaweza akafikiria lakini hazina uhalisia wowote
Kwa nini hawataki kuja mezani kumalizana ? Wanamzingua tu Fei mama yake nyumba za fumba ....waje wamakizane
 
Kipindi kile ilikuwa kila Yanga anapokaribia kwenye mechi kubwa halafu ikaonekana Feisali ameenda TFF kuhusu swala lake na Yanga, ikitafsiriwa kama njia ya kuwatoa Yanga mchezoni

Leo Yanga wenyewe ndio wameanza uchokonozi bila kujali kama wapo kwenye wiki ya kujiandaa na mechi kubwa.
Mkuu kwani hayo mashtaka ya Yanga ni ya tarehe ngapi? Unadhani kwanini yamevuja leo?
 
Conversations- Juicy Wrld
1683916170112.jpg
 
Hii move ya kummaliza, ingawa dogo ni fala wa kutupwa, lakini wangemsamehe tu na kumuacha, Shule ni Muhimu sana.

Naona faida moja tu ya kudeal ya huyu dogo ni kuweka precedes kwamba sio vyema kucheza na mikataba.

Dodo atatoka hapo, atasogezwa kwenye mashtaka ya vyombo vingine, kwa nini watu hawamshauri huyu dogo akatulia?
Dogo anaomba kuchangiwa aende CAS
 
Dogo ana nyanyasika sana
Sasa ananyanyasikaje analipwa mshahara na yeye ndio hajafata utaratibu ktk kuvunja mkataba?Na hajang'ang'aniwa na mtu ila hataki kwenda kuongea na uongozi yy mwenyewe hapo kanyanyasikake yani????
 
Sasa ananyanyasikaje analipwa mshahara na yeye ndio hajafata utaratibu ktk kuvunja mkataba?Na hajang'ang'aniwa na mtu ila hataki kwenda kuongea na uongozi yy mwenyewe hapo kanyanyasikake yani????
Ametumia utaratibu kuvunja mkataba kupitia TFF lakini bado wamemzingua
 
Wewe ni tahira, unajua mtu aliyenyanyasika? Au umeshupaza mishipa ya kitobo kisa unazi. Fvck u
Nakuheshimu mkuu, nami niheshimu pia...

Kwenye ulimwengu huu, thamani ni utu sio lupia...
 
Pita hivi na upuu wako... Unajua unyanyasaji wewe?.
Ulikuwa na haja gani ya kuandika matusi?

Mi ndio maana sipendagi mjadala na watoto

Watoto huwa siwapi nafasi kufanya mjadala na mimi, huwa nawapa toothpick wachokonoe maziwa
 
Ulikuwa na haja gani ya kuandika matusi?

Mi ndio maana sipendagi mjadala na watoto

Watoto huwa siwapi nafasi kufanya mjadala na mimi huwa nawapa toothpick wachokonoe maziwa
Alitiwa madole kwamba ananyanyasika?, Punguza upuuzi kijana.
 
Back
Top Bottom