Yanga yamshitaki Feisali Salum kwenye kamati ya nidhamu

Yanga yamshitaki Feisali Salum kwenye kamati ya nidhamu

Masponsor wanampa kiburi,ila kuondoka kwake hakujaweza kuharibu move ya Yanga kuelekea kuchukua Vikombe,so wampe soft exit akapambanie maisha mbele.
True
 
Sijui utekelezaji wa hukumu za mpira ziko tofauti na zingine! Hivi ukienda mahakama ya mwanzo ukahukumiwa miezi sita jera lakini wewe hujaridhika na hukumu ukawa unakusidia kukata rufaa, inabidi utafute haki yako ukiwa jera ukitumika hukumu au unajifungia ndani mwako ukisubiri kukata rufaa?
 
Sijui utekelezaji wa hukumu za mpira ziko tofauti na zingine? Hivi ukienda mahakama ya mwanzo ukahukumiwa miezi sita jera lakini wewe hujaridhika na hukumu ukawa unakusudia kukata rufaa, inabidi utafute haki yako ukiwa jera ukitumikia hukumu au unajifungia ndani mwako ukisubiri kukata rufaa?
 
Sijui utekelezaji wa hukumu za mpira ziko tofauti na zingine! Hivi ukienda mahakama ya mwanzo ukahukumiwa miezi sita jera lakini wewe hujaridhika na hukumu ukawa unakusidia kukata rufaa, inabidi utafute haki yako ukiwa jera ukitumika hukumu au unajifungia ndani mwako ukisubiri kukata rufaa?
Upo nyuma ya nondo
 
Kipindi kile ilikuwa kila Yanga anapokaribia kwenye mechi kubwa halafu ikaonekana Feisali ameenda TFF kuhusu swala lake na Yanga, ikitafsiriwa kama njia ya kuwatoa Yanga mchezoni

Leo Yanga wenyewe ndio wameanza uchokonozi bila kujali kama wapo kwenye wiki ya kujiandaa na mechi kubwa.
Feisal anatakiwa anyonywe mavi
 
Back
Top Bottom