Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Kazini watu wanaenda kutafuta maslahi. Hata hizo kazi zimefunguliwa ni kutafuta maslahi. Hapo kinachokushangaza nn kama Fei anatafuta maslahi? Binafsi ndio katika ujana wangu nimeshawahi ondoka kazini kwa mhindi kwa notice ya masaa 24. Yaani niache maslahi ya maana sababu natakiwa nikae kikao na nani sijui kutoka India? Unadhani Yanga wanapigania nn zaidi ya maslahi yao kwa Fei?Sitashangazwa hata kidogo. Hata Morriston haikunishangaza. Wala sijawahi mshangilia Morriston. Mm nazungumzia mantiki ya mkataba na uvunjaji wake. Ni sawa na wewe uache kwenda kazini kisa unalipwa mshahara mdogo???
Ulipokuwa shule ulifundishwa kwamba ili kuvunja mkataba/kuboresha unatakiwa kutoroka kazini???