Hiyo 24hrs notice ni njia mojawapo sahihi ya kuvunja mkataba uliyoifata. Turudi kwa feisal hatua aliyochukua kuvunja mkataba haina mashiko.Kazini watu wanaenda kutafuta maslahi. Hata hizo kazi zimefunguliwa ni kutafuta maslahi. Hapo kinachokushangaza nn kama Fei anatafuta maslahi? Binafsi ndio katika ujana wangu nimeshawahi ondoka kazini kwa mhindi kwa notice ya masaa 24. Yaani niache maslahi ya maana sababu natakiwa nikae kikao na nani sijui kutoka India? Unadhani Yanga wanapigania nn zaidi ya maslahi yao kwa Fei?
Kweli, Inawezekana.Huyu hata akiamua kurudi yanga atua kipaji chake pale mana atasugua sana benchi. na hicho ndicho anachokiogopa.
Kamati ya Sheria na Nidhamu ya Young Africans imemuelekeza Feisal kuwasilisha utetezi wake juu ya tuhuma zinazomkabili ndani ya siku 7.
Pia Kamati imemuelekeza kuhudhuria Kikao cha Kamati ya Sheria na Nidhamu kitakachosikiliza mashtaka dhidi yake jana tar 24 Mei 2023 pamoja na muwakilishi wake (endapo angependa kufanya hivyo) ili kusikiliza yeye pamoja na mlalamikaji na kufanya maamuzi juu ya tuhuma zinazomkabili
Endapo atashindwa kuwasilisha utetezi wa maandishi dhidi ya tuhuma zinazomkabili ndani ya muda au kutofika kwenye kikao, basi kikao kitaendelea bila uwepo wake.
View attachment 2634178View attachment 2634177
Kwa nini hawataki kuja mezani kumalizana ? Wanamzingua tu Fei mama yake nyumba za fumba ....waje wamakizaneKamati ya maadili iiwaita Yanga kuthibitisha hizi taarifa na walishindwa.
So hizi bado ni speculations tu ambazo kila mtu anaweza akafikiria lakini hazina uhalisia wowote
Mkuu kwani hayo mashtaka ya Yanga ni ya tarehe ngapi? Unadhani kwanini yamevuja leo?Kipindi kile ilikuwa kila Yanga anapokaribia kwenye mechi kubwa halafu ikaonekana Feisali ameenda TFF kuhusu swala lake na Yanga, ikitafsiriwa kama njia ya kuwatoa Yanga mchezoni
Leo Yanga wenyewe ndio wameanza uchokonozi bila kujali kama wapo kwenye wiki ya kujiandaa na mechi kubwa.
Sio juicy ni JuiceConversations- Juicy WrldView attachment 2634512
Dogo anaomba kuchangiwa aende CASHii move ya kummaliza, ingawa dogo ni fala wa kutupwa, lakini wangemsamehe tu na kumuacha, Shule ni Muhimu sana.
Naona faida moja tu ya kudeal ya huyu dogo ni kuweka precedes kwamba sio vyema kucheza na mikataba.
Dodo atatoka hapo, atasogezwa kwenye mashtaka ya vyombo vingine, kwa nini watu hawamshauri huyu dogo akatulia?
Dogo anaombwa kuchangiwa aende CAS
Asante kwa taarifa tupo busy na fainali nchi kwanzaSio juicy ni Juice
28th Wimbo wa Taifa utapiwa pale kwa Mkapa pia bendera ya nchi itapepeaNchi inaingiaje hapo?
Sasa ananyanyasikaje analipwa mshahara na yeye ndio hajafata utaratibu ktk kuvunja mkataba?Na hajang'ang'aniwa na mtu ila hataki kwenda kuongea na uongozi yy mwenyewe hapo kanyanyasikake yani????Dogo ana nyanyasika sana
Wewe ni tahira, unajua mtu aliyenyanyasika? Au umeshupaza mishipa ya kitobo kisa unazi. Fvck uDogo ana nyanyasika sana
Ametumia utaratibu kuvunja mkataba kupitia TFF lakini bado wamemzinguaSasa ananyanyasikaje analipwa mshahara na yeye ndio hajafata utaratibu ktk kuvunja mkataba?Na hajang'ang'aniwa na mtu ila hataki kwenda kuongea na uongozi yy mwenyewe hapo kanyanyasikake yani????
Pita hivi na upuu wako... Unajua unyanyasaji wewe?.Nakuheshimu mkuu, nami niheshimu pia...
Kwenye ulimwengu huu, thamani ni utu sio lupia...
Alitiwa madole kwamba ananyanyasika?, Punguza upuuzi kijana.Ulikuwa na haja gani ya kuandika matusi?
Mi ndio maana sipendagi mjadala na watoto
Watoto huwa siwapi nafasi kufanya mjadala na mimi huwa nawapa toothpick wachokonoe maziwa