Yanga yamshitaki Feisali Salum kwenye kamati ya nidhamu

Masponsor wanampa kiburi,ila kuondoka kwake hakujaweza kuharibu move ya Yanga kuelekea kuchukua Vikombe,so wampe soft exit akapambanie maisha mbele.
True
 
Sijui utekelezaji wa hukumu za mpira ziko tofauti na zingine! Hivi ukienda mahakama ya mwanzo ukahukumiwa miezi sita jera lakini wewe hujaridhika na hukumu ukawa unakusidia kukata rufaa, inabidi utafute haki yako ukiwa jera ukitumika hukumu au unajifungia ndani mwako ukisubiri kukata rufaa?
 
 
Upo nyuma ya nondo
 
Feisal anatakiwa anyonywe mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…