Yanga yamtaka Fei Toto arudi klabuni haraka na pia klabu ipo tayari kumuuza

Kikwete:haloo we kijana karia, hakikisha huyu mtoto hachezi soka hapa nchini hawezi kutudhalilisha wananchi hivi.

Karia:haina shida mkuu,msimamo ni ule ule(ila kwanini mnamlazimisha akati hawataki?)akitamka kimoyo moyo .
 
Kabisaaa wana muhitaji mnoo feisal.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu, tofautisha kuvunja mkataba na kutaka kuvunja mkataba.

Tokea ili sakata limeanza, hakuna Sehemu Yanga wakisema kuwa Fei amevunja mkataba, hakuna. Wao wanasema Fei haonekani kambini., It means hawajakubaliana na uvunjwaji wa namna hiyo.

Kuhusu adhabu ya kifungo au faini, hizobni hatua zingine za mbeleni kadiri kesi inavyozidi kwenda.

Alaf Fei kama anataka kuondoka, amepewa option kuwa timu inayomtaka iende kuzungumza na Yanga
 
Baada ya hapo anakuja kuuliza tena "Kwahiyo ulitaka achukuliwe hatua katika lipi sasa"

Huyu mtu sijui kama anaelewa nachomuandikia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Morisson aliwaburuza kihalali.
 
Sasa wao Yanga wanashindwa nn kumuacha fei?? Mbna sure boy walimpata kwa njia hyo. Khaaaaah
 
Na kama alikua sawa mbona anaomba tena kuvunja mkataba kwanini asimame na aliloanza nalo mwanzo?
Utopolo mmeshasahau zile milioni 100 alizowapa mkazikataa zilikuwa za kazi gani[emoji1787][emoji1787] hamna kumbukumbu kabisa🫣🫣
 
Kwahyo kumbe Fei Yuko sahihi kuvunja mkataba, ila Yanga hawataki atoke km free agent, ila wanataka kumuuza?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnajivua nguo wazi wazi lol
 
Fei hana team inayotaka, yeye anataka kuwa free agent afanye mambo yake mengine. Ndo maan anataka kuvunja mkatabaa.
 
Yanga haikupeleka malalamiko ya kusema "Mchezaji kataka kuvunja mkataba" Yanga imepeleka malalamiko kuwa "mchezaji kavunja mkataba kinyume na sheria"

So mada iliyopo mezani ilikuwa ni kujadili kuhusu kuvunjika kwa mkataba

So kama ingefahamika kuwa hakuvunja mkataba basi Yanga ilipaswa kuwajibishwa kwa kupeleka madai ya uongo kumzushia mchezaji.

Na kama ni kweli mchezaji kavunja mkataba kinyume na sheria basi hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake na sio kumrudisha kambini
 
Kikwete:haloo we kijana karia, hakikisha huyu mtoto hachezi soka hapa nchini hawezi kutudhalilisha wananchi hivi.

Karia:haina shida mkuu,msimamo ni ule ule(ila kwanini mnamlazimisha akati hawataki?)akitamka kimoyo moyo .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yule mzungu wa simba aliondoka bila hata BARUA aliaga instagram sababu hakuwa potential ila FEISAL hawezi fanya ujanjaa ujanjaa.
 
Hapo fei moyoni anasema "weeee naijua hiyo"
 
Wahuni walipitia njia ya kwa mpalange sasa wamekwama sasa wanahaha tu
 

Attachments

  • Screenshot_2023-03-07-10-41-16-624_com.android.chrome.jpg
    222 KB · Views: 1
Mchezaji amesema hata kukanyaga karibu na ilipo club ya yanga hataki kama kuongea zipo sehemu nyingi za kuongea sio lazima aje kambini kwa nini yanga mnamlazimisha mchezaji ambaye hataki kurudi kucheza yanga.
 
Utopolo mmeshasahau zile milioni 100 alizowapa mkazikataa zilikuwa za kazi gani[emoji1787][emoji1787] hamna kumbukumbu kabisa🫣🫣
Hivi wewe huwaga una akili timamu kweli?
Nyie si ndo mlikua mnatuambia Feisal yupo sahihi alipovunja mkataba sasa imekuaje amerudi tena kuandika barua? Kuomba kuvunja mkataba au ana mikataba miwili?😂

Feisal kawaumbua muache kushabikia vitu ilimradi tu.
 
Angalia huyu boya ulaya IPI unayoizungumzia??? Kwa umri Wake mazembe tu walimhitaji mkamgomea ety 1b hivi hapa Tanzania Kuna mchezaji wa billion Moja???
Jibu kama mtu mwenye akili kuliko kuandika pumba hivi. Unaposema Mazembe walimtaka mkamgomea unamwambia nani kama siyo uandishi wa kipumbavu huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…