Yanga yamtambulisha Mkude namba 6 aliyekuwa gumzo mtandaoni

Yanga yamtambulisha Mkude namba 6 aliyekuwa gumzo mtandaoni

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
IMG_7990.jpeg

Hatimae ukweli umejulikana baada ya wapinzani kujaribu kuiba mchezaji airport now imefahamika rasmi kuwa wapinzani walimuiba mchezaji asiye sahihi.
 
Hatimaye ukweli umejulikana baada ya wapinzani kujaribu kuiba mchezaji airport now imefahamika rasmi kuwa wapinzani walimuiba mchezaji asiye sahihi.
Ujinga ni mzigo, mkude kapewa jezi namba ngapi? Unaelewa maana ya jezi namba 6 wanayoimaanisha yanga? Mzee kilomoni anatakiwa azikomboe na akili zenu alizozichukua yule mhindi wa bombay!
 
Ujinga ni mzigo, mkude kapewa jezi namba ngapi? Unaelewa maana ya jezi namba 6 wanayoimaanisha yanga? Mzee kilomoni anatakiwa azikomboe na akili zenu alizozichukua yule mhindi wa bombay!
Huwa wanakurupuka na kukimbilia kuandika threads bila kuwa na usahihi wa kile wanachokiandika
 
Back
Top Bottom