NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Milioni 270 mzeeDau halitawekwa wazi kwasababu thamani yake ni plate ya ubwabwa
Tulitaka anaemuhitaji Feisal aje kuongea na uongozi wa Yanga, na amekuja!Haya, Yanga lia lia karibuni. Yule dogo alikuwa na kiburi akijua ana watu, na kweli anao.
270milProfessional footballer leo hii anauzwa kwa dau ambalo haliwekwi wazi? Kwamba ni dogo sana au ni kubwa sana?
We umetoa wapi hilo dau wakati wahusika wamesema ni siri?270mil
Dogo kaondoka buree huyu acheni mbambamba.270mil
Kwa nini unasema hivyo bossAzam ni klabu ya WAHUNI
Kumbe umekuja kubishana Mwanzo yanga waligoma kumuacha kwa kuwa Azam walikuja kwa dau la 168 milWe umetoa wapi hilo dau wakati wahusika wamesema ni siri?