Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Okrah Magic kauzwa kwa bei ganiDogo kaondoka buree huyu acheni mbambamba.
Yanga wamepita mule mule kwenye mkeka nilioleta juzi. Hapo sikuweka zile tiketi zilizokuwa zinanunuliwa kwa hiyo Yanga bado mna deni, chungeni mnaweza mpoteza na Mayele muda wowote.
Gharama za Algeria na kurudi = 200,000,000
+
Ndege hadi Mbeya 30,000,000
+
Ubwabwa wa Ikulu = 20,000,000
+
Goli la Fainali kwa Mkapa = 20,000,000
Jumla = 270,000,000
Gharama za kumuachia Feisal Salum = 270,000,000