Yanga yamuuza Feisal kwa Azam FC

Yanga yamuuza Feisal kwa Azam FC

Tunawaangalieni mnavyofarijiana kwa kutaja figure kubwa.Ubwabwa wa bure si mzuri sana mtani,ona umewagharimuni kijana kaondoka kiulaini kabisa.
Wewe leta figure tulinganishe,
 
@NALIA NGWENA mwenzio huyu hapa anakuja na figure ya 500M -30M,mpaka sasa kila mtu na lake.Tajeni figure moja tuwaeleweni enyi wanazi wa Yanga.Ameuzwa kwa 270M,350M au 470M?

Ndiyo maana uongozi umeamua kutoweka hadharani dau lenyewe ili muendelee kujifariji kila mtu na figure yake.
Nenda kawaulize Simba Sc wawape figure wao ndiyo wanajua[emoji41]
 
Negative can sometimes be good than positive

Kapime ukimwi halafu wakuambie upo positive tuone kama itakufurahisha
Kwahiyo hii mada inahusu kupima ukimwi?
 
Azam ni mwiba kwa makolo, Feisal ni mwiba kwa makolo, kwa hii combination ya Azam na Faisal makolo watapigwa kama Ngoma. Walikuwa wanashadadia kifo anguko lao.
 
Azam walishindwa vipi kukamilisha huu usajili mapema?

Ilikuwaje mpaka wamlaghai mcheza ili avunje mkataba kihuni?

Mlichokifanya leo ndicho kinacho takiwa kwenye soka, tuma offer then watu wai-evaluate baada ya hapo unasajili mchezaji.

Kulaghai mchezaji ni janja janja za kizamani. Hakuna pahala ambapo watakubali hilo jambo.

Ninashukuru pia Jitihada sa Mheshimiwa Rais Samia ambazo zimewalazimu muende mezani.

Nakumbuka Yanga walliandika barua mara kadhaa kuwa klabu inayomtaka feisal ije mezani. Nyinyi mlijitia majinuni ili hali taratibu mnazifahamu.

Sasa mmejipata katka nafasi ya kuwajibika kufika mezani wenyewe. Kioja kingine baada ya kufika mezani mkajipa "baigaining power" eti tunatoa Milion 270 za usajili.

Bwana mdogo Hersi kawaambia bila 500 hambebi kitu.

Mwisho wa siku mkasamehewa milion 30

Yanga SC wamewafundisha namna biashara ya mpira inavyotakiwa kufanyika.

Hongereni kwa kujifunza.
hiyo unasema wewe shabiki wa andazi fc ila mama katoa amri fei aachiwe huru na imetekelezwa
 
Huu ni utoaji habari ya muhtasari.

Kama unataka taarifa kamili, nunua gazeti lako la mwanaspoti.

Niko na makala yangu mule!
huo utumbo uliouandika huko labda asome hawara yako
 
Dogo kaondoka buree huyu acheni mbambamba.

Yanga wamepita mule mule kwenye mkeka nilioleta juzi. Hapo sikuweka zile tiketi zilizokuwa zinanunuliwa kwa hiyo Yanga bado mna deni, chungeni mnaweza mpoteza na Mayele muda wowote.

Gharama za Algeria na kurudi = 200,000,000
+
Ndege hadi Mbeya 30,000,000
+
Ubwabwa wa Ikulu = 20,000,000
+
Goli la Fainali kwa Mkapa = 20,000,000

Jumla = 270,000,000

Gharama za kumuachia Feisal Salum = 270,000,000
Ujinga huo
 
Dau halitawekwa wazi kwasababu thamani yake ni plate ya ubwabwa
I think mashabiki wa Simba tungejikita kwenye kuhimiza timu yetu ifanye usajiri ni aibu sisi kugeuka kuwa wambea na kushadadia mambo, msimu wa pili mfurulizo tunatoka kama tulivyo anza imagine wenzetu tulikua tunawacheka wamefika fainali CAF confederation tayari wana kombe la NBC kesho kutwa wanacheza fainali Azam federation, Azam FC ndio wametunyima ubingwa msimu huu tayari wana Feisal sisi tumebaki kua wanaharakati
 
Una amini kwamba mashabiki kujadili swala la Feisali kunaweza kuizuia timu ishindwe kusajili?
 
I think mashabiki wa Simba tungejikita kwenye kuhimiza timu yetu ifanye usajiri ni aibu sisi kugeuka kuwa wambea na kushadadia mambo, msimu wa pili mfurulizo tunatoka kama tulivyo anza imagine wenzetu tulikua tunawacheka wamefika fainali CAF confederation tayari wana kombe la NBC kesho kutwa wanacheza fainali Azam federation, Azam FC ndio wametunyima ubingwa msimu huu tayari wana Feisal sisi tumebaki kua wanaharakati
Scars OKW BOBAN SUNZU SAYVILLE njoeni huku
 
Back
Top Bottom