Azam walishindwa vipi kukamilisha huu usajili mapema?
Ilikuwaje mpaka wamlaghai mcheza ili avunje mkataba kihuni?
Mlichokifanya leo ndicho kinacho takiwa kwenye soka, tuma offer then watu wai-evaluate baada ya hapo unasajili mchezaji.
Kulaghai mchezaji ni janja janja za kizamani. Hakuna pahala ambapo watakubali hilo jambo.
Ninashukuru pia Jitihada sa Mheshimiwa Rais Samia ambazo zimewalazimu muende mezani.
Nakumbuka Yanga walliandika barua mara kadhaa kuwa klabu inayomtaka feisal ije mezani. Nyinyi mlijitia majinuni ili hali taratibu mnazifahamu.
Sasa mmejipata katka nafasi ya kuwajibika kufika mezani wenyewe. Kioja kingine baada ya kufika mezani mkajipa "baigaining power" eti tunatoa Milion 270 za usajili.
Bwana mdogo Hersi kawaambia bila 500 hambebi kitu.
Mwisho wa siku mkasamehewa milion 30
Yanga SC wamewafundisha namna biashara ya mpira inavyotakiwa kufanyika.
Hongereni kwa kujifunza.