Yanga yamuuza Feisal kwa Azam FC

Yanga yamuuza Feisal kwa Azam FC

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] WAMEBUGIA KIAZI CHA MOTO MIDOMO INACHEZA SEBENE
 
Wacha kutudanganya bwana.Dau halijawekwa wazi.Kungekuwa na dau nono wangeweka wazi ili kuwafurahisheni nyie wadau wa Yanga.Sasa hivi nyote mnatuletea figure za kufikirika,mara 350M na wewe unakuja na 270M.
Acha iwe hivyo basi unavyotaka wew
 
Najaribu kuwaza. Ina maana Yanga wamemuuza Fei Kwa sababu Rais kasema au ni utashi wao
 
Back
Top Bottom