Yanga yamuuza Feisal kwa Azam FC

Okrah Magic kauzwa kwa bei gani
 
Ana hoja ila wahusika wanalifanyia kazi suala la usajili asiwe na shaka. Vyuma vya kazi vinashushwa na tutaviona CAF Super League ambapo hao "wenzetu" anaowasifia hawajakidhi viwango vya kuwepo.
Sawa
 
UTOPOLO KUWA LA KUSHINDWA WAMECHEMKA TENA.


UTOPWINYO WAMEANGUKIA PUA
Uto amechukua 270M kwa mchezaji ambaye walipewa na mwigulu..

Sasa hapo wamepata hasara gani..

Kweli huko kwenu wote mbumbumbu.
 
Maisha ya kushabikia soka siyo magumu hivi. Yaani tusifurahie soka sababu Feisal kaenda Azam na Yanga imekuwa na msimu wenye mafanikio?
 
Kumbe umekuja kubishana Mwanzo yanga waligoma kumuacha kwa kuwa Azam walikuja kwa dau la 168 mil
Barua ya yanga haisemi dau wamesema ni Siri Sasa wewe hilo dau umelitoa wapi?
 
Ushabiki wa namna hii lazima uwe chizi ,et bila 500m hambebi kitu.
Kuna furaha mnalazimisha hata Kwa kutumia nguvu.
Barua inajieleza wazi kuwa dau ni Siri na ukishaona neno Siri wakubwa tunaelewa Nan katoka patupu
 
MO aondoke atuachie timu yetu, hasipoondoka tunasusia bidhaa zake tunahamia kwenye bidhaa za Azam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…