Yanga yamuwekea ngumu Mzize kwenda Al-Masry

Mpumbavu ni wewe ,Tanzania hakuna Timu za maana za kuwapa maisha wachezaji.

Cha ajabu wachezaji wa kigeni wanapata Kila aina ya Msaada wanaotaka na wanasepa wakijiskia ila wa kwetu waawekewa wivu na wapumbavu kama wewe Kwa kutunga upuuzi.

Nzinze kama ana akili awasiliane na Rais vinginevyo nyie wapumbavu mtamharibia future
Mpuuzi kabisa hebu mwambie huyo shoga yako mlipe pesa za mkataba wa yanga afu mmpeleke huko Misri!. Rais una utindio wa ubongo.
 
Atalipa na atasepa mkithibutu kumbania Rungu lolilotumika Kwa Fei litatumika tena.

Fungu lolilotumika kwenye dabi tutatumia tena.
 
Mpumbavu ni wewe ,Tanzania hakuna Timu za maana za kuwapa maisha wachezaji.

Cha ajabu wachezaji wa kigeni wanapata Kila aina ya Msaada wanaotaka na wanasepa wakijiskia ila wa kwetu waawekewa wivu na wapumbavu kama wewe Kwa kutunga upuuzi.

Nzinze kama ana akili awasiliane na Rais vinginevyo nyie wapumbavu mtamharibia future
Ulichoongea kizuri na kina make sense , logically upo sahii ila biashara na Mpira haupo hivyo,Yanga haipo kumsaidia mzinze Wala mchezaji yeyote,mzinze pia hayupo kuisadia Yanga ni biashara Kila Mtu anafaidika na mwezie na Kila Mtu analipwa so they're both happy,

Kuna kitu kinaitwa MKATABA kama Mzinze Anaona Yanga haimpi maslahi anayotaka na ana offer nzuri zaidi,awalipe Yanga Kwa kadri ya mkataba unavyotaka au atumikie mkataba Hadi siku ya mwisho,

Kama Yanga nao wanaona mzinze Hana kiwango cha kucheza Yanga uwezo wake mdogo,nao watatakiwa kumlipa Kila senti iliyobaki na mishaara Yote ya muda uliobakia.. that's how things work

Sasa hapo Rais wa jamhuri ya Tanzania anahusika vipi??mbona mnamdharau sana rais,Hana kazi za Maana ofisini kwake kushugulika na tatizo la mtu mmoja??tuwe tunatumia akili ku solve matatizo yetu,suala kama la fei toto halipaswi tena kujirudia Mpira una Sheria zake na lazima ufuatwe Kwa ustawi wa mpirà wetu..
 
Atalipa na atasepa mkithibutu kumbania Rungu lolilotumika Kwa Fei litatumika tena.

Fungu lolilotumika kwenye dabi tutatumia tena.
Punguzeni utakataka na hilo jibibi lenu... Mzize ataondoka yanga pale ambapo timu inamhitaji itatoa kias kinachohitajika.
 
Ndio Rais wako Hadi 2030 utake usitake na huna Cha kumfanya.

Endeleeni kukaza mtaona,tutawanyoa kama tulivyofanya Kigamboni kwenye Ubunge ,***** 🤣🤣
 
Ulichoongea kizuri na kina make sense , logically upo sahii ila biashara na Mpira haupo hivyo,Yanga haipo kumsaidia mzinze Wala mchezaji yeyote,mzinze pia hayupo kuisadia Yanga ni biashara Kila Mtu anafaidika na mwezie na Kila Mtu analipwa so they're both happy,

Kuna kitu kinaitwa MKATABA kama Mzinze Anaona Yanga haimpi maslahi anayotaka na ana offer nzuri zaidi,awalipe Yanga Kwa kadri ya mkataba unavyotaka au atumikie mkataba Hadi siku ya mwisho,

Kama Yanga nao wanaona mzinze Hana kiwango cha kucheza Yanga uwezo wake mdogo,nao watatakiwa kumlipa Kila senti iliyobaki na mishaara Yote ya muda uliobakia.. that's how things work

Sasa hapo Rais wa jamhuri ya Tanzania anahusika vipi??mbona mnamdharau sana rais,Hana kazi za Maana ofisini kwake kushugulika na tatizo la mtu mmoja??tuwe tunatumia akili ku solve matatizo yetu,suala kama la fei toto halipaswi tena kujirudia Mpira una Sheria zake na lazima ufuatwe Kwa ustawi wa mpirà wetu..
Wanaweka vizuizi ,Tanzania tuna utamaduni wetu lazima wafuate.
 
Akianza kucheza ovyo msilalamike, mkasema emehongwa, mchezaji Huwa alazimishwi anashawishiwa. Kama mwenyewe anataka kuondoka ya nini kumzuia. Huo ndo mpira. Hakuzaliwa yanga mwcheni aende anakotaka.
Unafikiri mchezaji ni kama hawara anaamua tu kuondoka kwa mchepuko wake sio?
 
Wanaweka vizuizi ,Tanzania tuna utamaduni wetu lazima wafuate.
Najuaga mara zote huna akili ,ila leo ulichovuta usivute tena,. nakwambia habari za mkataba na Sheria wewe unasema UTAMADUNI,are you serious??? Sijawahi kuona au kusikia mtu anashabikia CCM akafikiri Kwa mantiki..sijui nani yupo sahii ila point yangu Ile Ile,mkataba wao ueshimiwe..
 
Walikubaliana vipi kwenye release clause? Wafuate makubaliano si kutafutatafuta huruma huku nyie ndiyo wahalifu
 
Najuaga mara zote huna akili ,ila leo ulichovuta usivute tena,. nakwambia habari za mkataba na Sheria wewe unasema UTAMADUNI,are you serious??? Sijawahi kuona au kusikia mtu anashabikia CCM akafikiri Kwa mantiki..sijui nani yupo sahii ila point yangu Ile Ile,mkataba wao ueshimiwe..
Muachieni kijana asepe kabla hamjashughuliliwa Kwa maslahi mapana ya Nchi.
 
Wakala kusema "mbona mayele aliuzwa kwa dola 500,000" tafsiri yake anamdharau Mzinze na kudhani hana lolote
 
Sijui ni kwanini Wachezaji wanaojiunga na Yanga huwa hawajifunzi kwa waliopita? 🤔
 
Kwa ushauri tu Mzize anapaswa kuibadilisha menejiment inayomsimamia kwani imefeli kwa kiasi kikubwa sana, kwani imeshindwa kutambuwa kwamba Clement Mzize ni bidhaa ndani ya Young Africans, na siku zote mwenye bidhaa ndio muamuzi wa mwisho wa kuangalia wapi auze bidhaa yake na nani wa kumuuzia, huyu dada Jasmine anachotaka na kutafuta ni huruma ya uongo kwa wadau wa mpira wa miguu ili ionekane Young Africans hawataki kumuuza Mzize wakati ukweli wote wa sakata hili analifahamu ila kuna mengine anashindwa kuyazungumza katika media zetu. Mzize anatakiwa klabu mbili Umm Salal ya Qatari kwa USD 100,000 pamoja na USD 300,000 za mchezaji, na AL masry wanataka kumnuna Mzize kwa USD 500,000, mpira wa miguu ni biashara lazima wanaomiliki mchezaji wachaguwe offer iliyonona, sasa kitu cha kushangaza huyu Jasmine anashindwa kuizungumzia offer ya Qatari, analazimisha Young Africans wamuuze Mzize kwa Al Masry ni kitu ambacho Young Africans wamekikataa.
 
Back
Top Bottom