Yanga yamwekea pingamizi Rais wa TFF Wallace Karia

Yanga ana
YANGA ana uhusia Gani na GSM?
 
Mapingamizi yakitupwa na jamaa akichukua Tena kiti?Huyo kawekwa hapo ajajiweka mwenyewe.
Hakuna cha kuwekwa hapo, alichaguliwa baada ya kuonekana anafaa. Baada ya kuvumilia uongozi wa Malinzi. Sasa na yeye kawa zaidi ya Malinzi.akitumia kinga za uwekezaji wa wafadhili wa vilabu , na support ya sirikali kupitia Sera za magoli ya mama
 
Hakuna cha kuwekwa hapo, alichaguliwa baada ya kuonekana anafaa. Baada ya kuvumilia uongozi wa Malinzi. Sasa na yeye kawa zaidi ya Malinzi.akitumia kinga za uwekezaji wa wafadhili wa vilabu , na support ya sirikali kupitia Sera za magoli ya mama
Hawezi Toka huyo kwa sababu ya hayo mapingamizi.Karia ni Raisi wa Tff kwa awamu nyingine.
 
Hivi Tenga alipokuwa TFF naye alikuwa na kashfa kama za huyu bwana? Mbona ni kama vile Tenga alikaa pale TFF na mwisho wa siku akaondoka kiroho safi.

Halafu kipindi cha Tenga walianzisha hadi TSA (Tanzania Soccer Academy) kupitia pesa za FIFA.

Kwa sasa pesa kwenye mpira zimekuwa ni nyingi sana kwa sababu ya ufadhili lakini sioni TFF wakianzisha mradi wowote zaidi kuna tetesi waamuzi hawalipwi, na juzi kati Mtibwa eti Mtibwa hakupewa zawadi ya Chamoionship.

Kipindi hiki cha Karia mpira una pesa sana lakini mambo hayaeleweki katika miradi mbalimbali ya TFF na matumizi ya pesa. Tunatarajia timu zipate sapoti kubwa kutoka TFF.
 
Huyo tunamngoa
 
kudadadeki mmemuona alex ngai?
 
Hawa si ndio raisi wao aliungana na mangungu kusema, karia mi 5 tena 😂🤣
 
Hoja namba mbili hana ushaidi wakuonyesha alikusanya mapema hizo endorsement...namba 03 aonyeshe kifungu kinachokataza Karia kugombea mihula mitatu..


Yanger waache majungu na fitina
 
Kidau naona ameamua upya kuvujisha Siri za ofisi kwa binti Kazumari
 
Nyie kenge mnajisahau sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…