Yanga yamwekea pingamizi Rais wa TFF Wallace Karia

Zipelekeeni hizo timu pesa.

Timu haziwezi kukataa pesa kwasababu Simba watakasirika.

Mwambieni na Mo apeleke pesa.

Kuendesha timu ni gharama.

Kuna timu hata kulipia hoteli ni changamoto.
 
Linapokuja swala la KISHERIA Yanga huwa wanafeli vibaya sana...... labda kwenye kugoma na kushinikiza lakini sio sheria na kanuni

Hoja ya kwanza.
Kanuni hazijaweka ukomo wa endorsement ila zimeweka minimum...... Yanga walipaswa kuipinga hii kanuni na sio kumshambulia aliyeitumia(ofkoz ni kanuni ya KIHUNI)

Hoja ya pili
Endorsement ni kitendo cha kusaini fomu ya mgombea.... na fomu zimetolewa wakati mmoja.
Yanga wanaweza kuthibitisha vipi kwamba fomu ya Karia ilitolewa mapema na ikawa endorsed kabla ya mchakato wa uchaguzi?

Hoja ya tatu
Vyama vinaendeshwa kwa Sheria na kanuni zilizo sajiliwa na sio SERA
Sheria na kanuni za TFF hazimzuii kugombea




 
Wenye akili yanga ni wawili tu.
Bila msaada wa Serikali hakuna watakalofanikiwa hata moja
 
Yanga hata TV rights ndiyo alipigania mpaka hela ikawa kubwa, mbumbumbu walikuwa wanaizunguka, Azam TV alikuja eti kila timu itapewa mil 100, Yanga waligomea malipo hayo, baada ya kufanyika review ndiyo wakakubali....... kwahiyo Yanga ndiyo mkombozi wa mpira kwa wahuni kama Karia
 
Simba nayeye kafungwa mara 5 na yanga na yeye pia anadhaminiwa na GSM kwa akili hizi za mashabiki wa Simba mtaendelea kuburuzwa sana
 
Natanguliza kwa heri CEO na Eng. Hersi kwenye mpira wa Tz. Siku zenu zinahesabika labda mwamba asirudi kwenye Urais. Kiburi Cha kujiona una sapoti ya wanachama wa Yanga kilimponza Manara na Msemaji wa sasa wa Yanga! Mmoja Mpira ndio basi mwingine aliswekwa ndani. Heshimu Mamlaka.
 
Yanga kesi zao zinafeli sababu TFF na kamati zao zinaendeshwa kwa remote za viongozi wa Simba!
 
Kwa hilo Waende Ikulu wakamuone Mama alitazame na hilo....! Huko Walikoenda wataangukia pua maana wanasheria wa Yanga wote ni vilaza.
 
Akili za Watanzania ni mbovu
Kwaiyo watu kuhoji mifumo mibovu ya dhambi?
 
Hata akirudi hawezi wafanya lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…