Yanga yamwekea pingamizi Rais wa TFF Wallace Karia

Jamaa mbona kasema hapo juu kuwa ni kanuni ya kihuni. Kaandika (ofkoz ni kanuni ya kihuni) .
 
Unajua kuwa Malinzi aling'olewa na serikali ya JPM!? Yanga haiwezi mng'oa Karia, hizo ni ndoto za kiwendawazimu.
Haku mna serikali itavumilia dramamm na migomo kila wakati kwenye mpira.

Simba au Yanga kama hawataki kufanya naye kazi, atakaa pembeni tu
 
Karia kuitwa rais anajiona tayari ni raisi wa nchi na ile kauli ya FIFA kuwa serikali haitakiwi kuingilia mpira basi ndo kabisaa anafanya anachotaka yeye
 
Mkuu tatizo hapo sio Karia
Tatizo ni KANUNI

Na nimeeleza kwamba ofkoz kanuni hiyo ni ya KIHUNI na ndio inayotumika hata kumpata Rais wa FIFA duniani..... TFF wamei copy na kupaste tu

Yanga wanatakiwa kuipinga hii kanuni ilikosajiliwa na sio kumpinga anayeitumia
 
Safi sana, Dar young africans imekua kichocheo cha maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania.

Hii faida sio kwa yanga tu bali ni kwa vilabu vyote na mpira wetu.

YANGA DAIMA 💛💚💛💚
 
Waseme wanayemtaka awekwe.
 
Kwahiyo hiyo kanuni ilijileta au Karia alihusika kuileta? Mbona kina Tenga hawakuileta na wakafanya kazi zao na wakaondoka?
 
Yanga ndo inateua wagombea?
Yanga ni mwanachama TFF hawezi kukubali kuona kanuni zinapindishwa ili Karia anufaike peke yake na mifumo mibovu ya uchaguzi pale TFF
 
Ile 2021 wakati SIMBA na YANGA wanamshabikia Karia alikuwa mbele ya muda alishajua mwaka 2025 atafanya nini, sasa endorsement kachukua 46 kati ya 47...
Tendelee na movie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…