Yanga yapigwa faini ya Tsh. Milioni 345 kutoka FIFA, yatakiwa kumlipa Kocha Luc Eymael

Yanga yapigwa faini ya Tsh. Milioni 345 kutoka FIFA, yatakiwa kumlipa Kocha Luc Eymael

Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu.

Faini hiyo inatakiwa ilipwe siku 45 kuanzia leo la sivyo watafungiwa kusajili kwa misimu 3!

View attachment 2379632
Ndio yule aliyetutukana mashabiki wa Uto na timu yetu ?..
 
22df13027dfa4bc1bdfaafb901eab3cf_310960136_1174638943446384_7815291142141639313_n.jpg
 
Na nyinyi mashabiki wa simba ni wakati muafaka kwenu huu wa kumfungulia mashtaka Mwenyekiti wenu wa zamani Ismail Aden Rage kwa kuwaita mbumbumbu.

Haiwezekani awaite mbumbumbu, halafu mnakubali tu!
Unajua pale ukumbini kilitokea nini baada ya kusema mbumbumbu?
Ponea yake polisi walisaidia kutuliza amani
Ila nyie mmeitwa manyani mambwa mnabweka bweka hovyo na milioni 300 mtalipa
 
Ndo muwe mnajifunza kwa Simba,ooh mbona hawatoi release letter mbona hawatoi kumbe watu wanafata sheria. Mbona mzungu hawamwachii mbona hivi ndo mjue kuendesha taasisi kw weledi siku zingine.
Na wewe ume amini?
 
Hivi ina maana Yanga wao huwaga hawashindi kesi?
 
Pesa ndogo sana hiyo
Kabisa, kwa vile Yanga na wadhamini wao GSM pesa wanaziokota barabarani na vichochoroni.

Umesema ukweli ni pesa ndogo sana hiyo yaani..!
 
Unajua pale ukumbini kilitokea nini baada ya kusema mbumbumbu?
Ponea yake polisi walisaidia kutuliza amani
Ila nyie mmeitwa manyani mambwa mnabweka bweka hovyo na milioni 300 mtalipa
😁😁😁😁 Bora hata wewe ulishuhudia hilo tukio! Vipi mlitaka kuvunja viti vyote vya ukumbini?
 
Back
Top Bottom