goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Sahih kbsaNa wao wamshtaki kwa kuwaita NYANI,MASOKWE,HAYANA AKILI N.K N.K NK
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahih kbsaNa wao wamshtaki kwa kuwaita NYANI,MASOKWE,HAYANA AKILI N.K N.K NK
Ndio yule aliyetutukana mashabiki wa Uto na timu yetu ?..Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu.
Faini hiyo inatakiwa ilipwe siku 45 kuanzia leo la sivyo watafungiwa kusajili kwa misimu 3!
View attachment 2379632
Unajua pale ukumbini kilitokea nini baada ya kusema mbumbumbu?Na nyinyi mashabiki wa simba ni wakati muafaka kwenu huu wa kumfungulia mashtaka Mwenyekiti wenu wa zamani Ismail Aden Rage kwa kuwaita mbumbumbu.
Haiwezekani awaite mbumbumbu, halafu mnakubali tu!
Na wewe ume amini?Ndo muwe mnajifunza kwa Simba,ooh mbona hawatoi release letter mbona hawatoi kumbe watu wanafata sheria. Mbona mzungu hawamwachii mbona hivi ndo mjue kuendesha taasisi kw weledi siku zingine.
Naona umepata sababu ya kutingisha msambwanda kwenye dela
Kumbe wametunga...Na wewe ume amini?
Lipeni chapPesa ndogo sana hiyo
Nakuona Kolo kolo Fc unavyo furahiaaa 🤣🤣🤣Balaaaa
Nifanyie maarifa mwana 🤣🤣🤣 nipo juu ya mawe hata 50 millions tuPesa ndogo sana hiyo
Kabisa, kwa vile Yanga na wadhamini wao GSM pesa wanaziokota barabarani na vichochoroni.Pesa ndogo sana hiyo
😁😁😁😁 Bora hata wewe ulishuhudia hilo tukio! Vipi mlitaka kuvunja viti vyote vya ukumbini?Unajua pale ukumbini kilitokea nini baada ya kusema mbumbumbu?
Ponea yake polisi walisaidia kutuliza amani
Ila nyie mmeitwa manyani mambwa mnabweka bweka hovyo na milioni 300 mtalipa