Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Khaaa mimi ni GSM mkuu? 🤣🤣🤣Nifanyie maarifa mwana 🤣🤣🤣 nipo juu ya mawe hata 50 millions tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaa mimi ni GSM mkuu? 🤣🤣🤣Nifanyie maarifa mwana 🤣🤣🤣 nipo juu ya mawe hata 50 millions tu
Japo umepiga dongo lkn hiyo pesa kwa taasisi kubwa kama Yanga/simba ni pesa ndogo mnoKabisa, kwa vile Yanga na wadhamini wao GSM pesa wanaziokota barabarani na vichochoroni.
Umesema ukweli ni pesa ndogo sana hiyo yaani..!
Kwani bakuli la michango leo lilipita mitaa gani?Na nyinyi mashabiki wa simba ni wakati muafaka kwenu huu wa kumfungulia mashtaka Mwenyekiti wenu wa zamani Ismail Aden Rage kwa kuwaita mbumbumbu.
Haiwezekani awaite mbumbumbu, halafu mnakubali tu!
Ikiwa manara aliwaambia wote hawana akili isipokuwa wawili tu na bado wanamsijidia itakuwa Eymar.Na wao wamshtaki kwa kuwaita NYANI,MASOKWE,HAYANA AKILI N.K N.K NK
Hiyo Ni hela ya mboga. Kiingilio cha kesho tu hicho na chenji inabaki.Ndio wakachanga milioni 40 kwa siku 10 hadi wakaamua kujitoa kwenye challenge ya nani ni nani? Mpaka wafikishe 300M itakuwa imeisha miaka 3 yankufungiwa kisajili.
Mbona ni yeye ndio anaonekana ana uso kama wa NYANI.
Itabidi aje akuoe utulie maana haiwezi pita siku hauja muongeaWangepigwa na karia hyo faini ungeona kelele zake kutoka kwa nguruwe pori
😂😅😆😁😄😃😀😀Utopolo Wenye Ni Kugalauka Usiku Wanavunja MkatabaNdo muwe mnajifunza kwa Simba,ooh mbona hawatoi release letter mbona hawatoi kumbe watu wanafata sheria. Mbona mzungu hawamwachii mbona hivi ndo mjue kuendesha taasisi kw weledi siku zingine.
Kiingilio cha 3000 mkiingia watu 10, 000 (ambayo haiwezekani) itakuwa Tsh 30,000,000tu.Hiyo Ni hela ya mboga. Kiingilio cha kesho tu hicho na chenji inabaki.
Na nyinyi mashabiki wa simba ni wakati muafaka kwenu huu wa kumfungulia mashtaka Mwenyekiti wenu wa zamani Ismail Aden Rage kwa kuwaita mbumbumbu.
Haiwezekani awaite mbumbumbu, halafu mnakubali tu!
Hawana akiliHivi hawa utopolo mbona wao kila kesi huwa ni kushindwa tu?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app