Yanga yapigwa faini ya Tsh. Milioni 345 kutoka FIFA, yatakiwa kumlipa Kocha Luc Eymael

Yanga yapigwa faini ya Tsh. Milioni 345 kutoka FIFA, yatakiwa kumlipa Kocha Luc Eymael

Kabisa, kwa vile Yanga na wadhamini wao GSM pesa wanaziokota barabarani na vichochoroni.

Umesema ukweli ni pesa ndogo sana hiyo yaani..!
Japo umepiga dongo lkn hiyo pesa kwa taasisi kubwa kama Yanga/simba ni pesa ndogo mno
 
Na nyinyi mashabiki wa simba ni wakati muafaka kwenu huu wa kumfungulia mashtaka Mwenyekiti wenu wa zamani Ismail Aden Rage kwa kuwaita mbumbumbu.

Haiwezekani awaite mbumbumbu, halafu mnakubali tu!
Kwani bakuli la michango leo lilipita mitaa gani?
 
Na wao wamshtaki kwa kuwaita NYANI,MASOKWE,HAYANA AKILI N.K N.K NK
Ikiwa manara aliwaambia wote hawana akili isipokuwa wawili tu na bado wanamsijidia itakuwa Eymar.
 
Wangepigwa na karia hyo faini ungeona kelele zake kutoka kwa nguruwe pori
 
Ndio wakachanga milioni 40 kwa siku 10 hadi wakaamua kujitoa kwenye challenge ya nani ni nani? Mpaka wafikishe 300M itakuwa imeisha miaka 3 yankufungiwa kisajili.
Hiyo Ni hela ya mboga. Kiingilio cha kesho tu hicho na chenji inabaki.
 
Ndo muwe mnajifunza kwa Simba,ooh mbona hawatoi release letter mbona hawatoi kumbe watu wanafata sheria. Mbona mzungu hawamwachii mbona hivi ndo mjue kuendesha taasisi kw weledi siku zingine.
😂😅😆😁😄😃😀😀Utopolo Wenye Ni Kugalauka Usiku Wanavunja Mkataba
 
Tutaenda CAS kama Morrison,,tukshndwa CAS msimu ujao tunamrudsha utopoloni
 
Jamaa aliwatukana na bado anawapiga mpunga mrefu
Uto hawatomsahau huyu mwamba
 
Hatimaye aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC Luc Eymael (raia wa Ubelgiji) ameshinda kesi yake ya madai na sasa Yanga SC inatakiwa kumlipa shilingi milioni 354 za Kitanzania.

Chanzo: Mwanaspoti Online

Kitu pekee na cha haraka haraka ambacho GENTAMYCINE nakikumbuka kwa kocha huyu ni kuwaita wana Yanga SC wote (ipo YouTube) kuwa ni Nyani, Mbwa na Sokwe.

Haya kesho mkishamaliza kufungwa na Msudani kabla ya machungu hayajaisha changishaneni ili muipate hiyo hela Tsh. milioni 354 ya kocha Luc Eymael vinginevyo muda wowote mnapigwa rungu (adhabu) ya maana na CAF kwa kushirikiana na FIFA ndipo akili zitawakaa sawa.
 
Na nyinyi mashabiki wa simba ni wakati muafaka kwenu huu wa kumfungulia mashtaka Mwenyekiti wenu wa zamani Ismail Aden Rage kwa kuwaita mbumbumbu.

Haiwezekani awaite mbumbumbu, halafu mnakubali tu!

Nyie haji mnamfungulia lini?[emoji2957]
 
Mwanasheria wa yanga ni shabiki wa simba sports club sio kwa utopolo huu anaofanya.
 
Back
Top Bottom