Yanga yashika nafasi ya 3 Afrika, yazipiku Mamelod na Bigwa US Algers

Mkiambiwa nyie ni mbumbu muwe mnajielewa!! Unajua maana ya takwimu?, Unajua mamelodi pamoja nakuchukua ubingwa wa ligi amefungwa na kudraw mechi ngapi?, Unajua usm Algers amefungwa mechi ngap msimu uliopita na amemalia akiwa nafasi ya ngapi?.
Tukiwaambia mmejaa mazombie ndio hivi hamuelewi chochote mpompo tuuuu... Mkiambiwa thimba ndio kilabu ya kwanza kuzindua whtsup chanel mnakenua...

Aliyechukua kombe la shirikisho hayupo hata kumi Bora Tena amechukua super cup hizo takwimu ni feki
 
Hivyo vigezo vya kuipa Yanga nafasi ya tatu kwa ubora wa Africa ni vya huko Tandale au Buza kwa Mpalange!Kwa kipi hadi Yanga iwe ya tatu kwa ubora Africa?
Mkiambiwa nyie ni mbumbu mkubali Sasa wewe unanishana na taasisi iliyoinvest pesa na muda wake?, Wakati huo wewe unasubiri uje udanganywe na kajura na Mangungu kuhusu whtusp chanel😅. Punguzeni ujinga mnaidhalilisha Nchi .... Au hujui hata maana ya takwimu za mwaka za soka kwa timu zinapinwaje?.
 
Mtandao wa International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) umetoka taarifa ya takwimu za vilabu bora Duniani kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Septemba 1 2022 hadi Agosti 31 2023.

Upande wa AFRIKA unaonyesha klabu ya YANGA ya Tanzania inashika nafasi ya 3 nyuma ya vilabu vya Ahly ya Misri na Wydad ya Morocco. Huku wababe wa Msimbazi SIMBA SC wakiangukia nafasi ya 12.

Yanga msimu uliopita ilicheza fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF na kupoteza kwa klabu ya USM ALGER ya Algeria , Mabingwa hao wa CAFCC wanashika nafasi ya 10 kwenye orodha hiyo. Mabingwa wa African Football League Mamelodi Sundown ya Afrika Kusini wako nafasi ya 5 baada ya Pyramid ya Misri huku nafasi ya 6 ikienda kwa FAR RABAT, Raja CA iko nafasi ya 7, Zamalek ya Misri 8 na CR BELOUZIDAD ikiwa ya 9

Mtandao wa IFFHS umekuwa maarufu sana Tanzania kwa siku za karibuni na kujizolea sifa miongoni mwa mashabiki wa soka kwa namna wanavyoziona klabu zao zikipepea nafasi za juu kwenye takwimu zao.

My Take
Nyuma Mbele Nyuma Mwiko 😀😀😀
Duh!! Umeamua kuwa mwananchi au?
 
CPA Okw katika ubora wake, ila ni Nov 22 - October 23.
 
Hivyo vigezo vya kuipa Yanga nafasi ya tatu kwa ubora wa Africa ni vya huko Tandale au Buza kwa Mpalange!Kwa kipi hadi Yanga iwe ya tatu kwa ubora Africa?
Hiki hapa.
 
Attachments

  • FB_IMG_1700045242071.jpg
    FB_IMG_1700045242071.jpg
    39.7 KB · Views: 1
Ninachofurahia ni kwamba hata wao wenyewe wanaona ni utani😂😂😂

Mimi kama mwanasimba hapo hapo wa 11 sory wa 12 naona iko sawa
 
Hizi tafiti ndio manara alizipinga sana wakati sinaongoza list sasa sijui takadini atafanyaje sasa hivi.
 
Mtandao wa International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) umetoka taarifa ya takwimu za vilabu bora Duniani kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Septemba 1 2022 hadi Agosti 31 2023.

Upande wa AFRIKA unaonyesha klabu ya YANGA ya Tanzania inashika nafasi ya 3 nyuma ya vilabu vya Ahly ya Misri na Wydad ya Morocco. Huku wababe wa Msimbazi SIMBA SC wakiangukia nafasi ya 12.

Yanga msimu uliopita ilicheza fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF na kupoteza kwa klabu ya USM ALGER ya Algeria , Mabingwa hao wa CAFCC wanashika nafasi ya 10 kwenye orodha hiyo. Mabingwa wa African Football League Mamelodi Sundown ya Afrika Kusini wako nafasi ya 5 baada ya Pyramid ya Misri huku nafasi ya 6 ikienda kwa FAR RABAT, Raja CA iko nafasi ya 7, Zamalek ya Misri 8 na CR BELOUZIDAD ikiwa ya 9

Mtandao wa IFFHS umekuwa maarufu sana Tanzania kwa siku za karibuni na kujizolea sifa miongoni mwa mashabiki wa soka kwa namna wanavyoziona klabu zao zikipepea nafasi za juu kwenye takwimu zao.

My Take
Nyuma Mbele Nyuma Mwiko 😀😀😀
Hahahahaha ,acha tu nicheke
 
20231117_092704.jpg
 
Hakuna watu au jamiii ya wajinga kama watanzania , bora hata uchanganye uraia
 
Timu iliyochukua Kombe la Shirikisho hata kumi bora haipo? Endeleeni kuwahonga hawa watoa takwimu,nimeomba Linki hakuna
Belgium ilishika nafasi ya kwanza ya rank za FIFA wakati haikuingia hata fainali za world cup au kuchukua kombe la EURO.
 
Kundi lake kubwa kipo Yanga
Nasomaga humu wanasema Yanga wenye akili ni wawili, na wale wengine ni mbumbumbu ,sasa sijajua kama wote ni mbumbumbu au la ?/

Sasa kama huku kuna wawili na kule kuna mbumbumbu ,unategemea mtanzania atakua na akili ?

Mm binafsi naonga wote tu mnapuyanga
 
Back
Top Bottom