Yanga yashika nafasi ya 3 Afrika, yazipiku Mamelod na Bigwa US Algers

Yanga yashika nafasi ya 3 Afrika, yazipiku Mamelod na Bigwa US Algers

Nashangaa hapo
Hizi siyo rank zinazoangalia shindano moja pekee, ukitaka rank za shindano moja utazipata katika shirikisho la soka Africa (CAF) ambapo utakutana na CAF 5 years ranking. Hii ni rank inayohusisha mashindano yote kwa ujumla ambayo yanatambulika na FIFA (ligi kuu, FA cup, na mashindano ya kimataifa)

Yanga ukichukukua idadi ya michezo aliyoshinda, idadi ya clean sheet na idadi ya magoli ya kufungwa na kufunga katika mashindano yote aliyoshiriki ana muacha mbali sana huyo USM Alger.
 
FB_IMG_17002175945294459.jpg

Mbumbu fc
Makolo fc
Tatu malogo fc
Karia fc... Mpaka msemee.. haya ibishien CAF
 
Mtandao wa International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) umetoka taarifa ya takwimu za vilabu bora Duniani kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Septemba 1 2022 hadi Agosti 31 2023.

Upande wa AFRIKA unaonyesha klabu ya YANGA ya Tanzania inashika nafasi ya 3 nyuma ya vilabu vya Ahly ya Misri na Wydad ya Morocco. Huku wababe wa Msimbazi SIMBA SC wakiangukia nafasi ya 12.

Yanga msimu uliopita ilicheza fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF na kupoteza kwa klabu ya USM ALGER ya Algeria , Mabingwa hao wa CAFCC wanashika nafasi ya 10 kwenye orodha hiyo. Mabingwa wa African Football League Mamelodi Sundown ya Afrika Kusini wako nafasi ya 5 baada ya Pyramid ya Misri huku nafasi ya 6 ikienda kwa FAR RABAT, Raja CA iko nafasi ya 7, Zamalek ya Misri 8 na CR BELOUZIDAD ikiwa ya 9

Mtandao wa IFFHS umekuwa maarufu sana Tanzania kwa siku za karibuni na kujizolea sifa miongoni mwa mashabiki wa soka kwa namna wanavyoziona klabu zao zikipepea nafasi za juu kwenye takwimu zao.

My Take
Nyuma Mbele Nyuma Mwiko 😀😀😀
Top 5 kwenye mchujo Hadi Sasa

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1725468522279567498?t=gxNv172gF7rU3WCpH-6c6Q&s=19
 
Mwaka gani?

Position of the men's national soccer team from Belgium in the FIFA World Ranking from 1993 to 2021​


YearFIFA World Ranking
20211
20201
20191
20181
20175
20165
20151
20144
201311
201221
201141
201057
200966
 
Kama na hili haulijui japo ni la miaka michace tu iliyopita utakuwa umeanza kufuatilia soka punde tu!
Nimempa link ataona imeshika namba 1 kwa miaka minne(4) mfululizo na Kuna mwaka mwingine kabla ilishika namba 1, jumla mara 5 kwa miaka ya karibuni.
 
Sijaamini kama huu uzi umetoka kwako 😄😄😄 Hongera kwa hilo mtani. Ila hapo ulivyomalizia, Nadhani unahitaji mkono mmoja mwingine 🖐 ukae sawa zaidi 😀
 
Back
Top Bottom