Aliyechukua kombe la shirikisho hayupo hata kumi Bora Tena amechukua super cup hizo takwimu ni feki
Mkiambiwa nyie ni mbumbu mkubali Sasa wewe unanishana na taasisi iliyoinvest pesa na muda wake?, Wakati huo wewe unasubiri uje udanganywe na kajura na Mangungu kuhusu whtusp chanelπ . Punguzeni ujinga mnaidhalilisha Nchi .... Au hujui hata maana ya takwimu za mwaka za soka kwa timu zinapinwaje?.Hivyo vigezo vya kuipa Yanga nafasi ya tatu kwa ubora wa Africa ni vya huko Tandale au Buza kwa Mpalange!Kwa kipi hadi Yanga iwe ya tatu kwa ubora Africa?
Duh!! Umeamua kuwa mwananchi au?Mtandao wa International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) umetoka taarifa ya takwimu za vilabu bora Duniani kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Septemba 1 2022 hadi Agosti 31 2023.
Upande wa AFRIKA unaonyesha klabu ya YANGA ya Tanzania inashika nafasi ya 3 nyuma ya vilabu vya Ahly ya Misri na Wydad ya Morocco. Huku wababe wa Msimbazi SIMBA SC wakiangukia nafasi ya 12.
Yanga msimu uliopita ilicheza fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF na kupoteza kwa klabu ya USM ALGER ya Algeria , Mabingwa hao wa CAFCC wanashika nafasi ya 10 kwenye orodha hiyo. Mabingwa wa African Football League Mamelodi Sundown ya Afrika Kusini wako nafasi ya 5 baada ya Pyramid ya Misri huku nafasi ya 6 ikienda kwa FAR RABAT, Raja CA iko nafasi ya 7, Zamalek ya Misri 8 na CR BELOUZIDAD ikiwa ya 9
Mtandao wa IFFHS umekuwa maarufu sana Tanzania kwa siku za karibuni na kujizolea sifa miongoni mwa mashabiki wa soka kwa namna wanavyoziona klabu zao zikipepea nafasi za juu kwenye takwimu zao.
My Take
Nyuma Mbele Nyuma Mwiko πππ
Napima uelewa wa Uto kwenye mambo madogo. Aisee unasikitisha sana, hawatumii vichwa kabisaDuh!! Umeamua kuwa mwananchi au?
Yanga anaipita mamelod kwa ubora afrika! Maajabu hayaAliyechukua kombe la shirikisho hayupo hata kumi Bora Tena amechukua super cup hizo takwimu ni feki
Yaani wewe upiwe watu uelewa? vituko haviishi duniani!Napima uelewa wa Uto kwenye mambo madogo. Aisee unasikitisha sana, hawatumii vichwa kabisa
Kama 5imba anacheza mpira mzuri kuliko waliofika final ame kandwa [emoji2772][emoji2772][emoji2772][emoji2772][emoji2772] tumia hesabu za cross multiplication utapata jibuYanga anaipita mamelod kwa ubora afrika! Maajabu haya
Mtulie kama maji mtunginiTutaona mengi mwaka huuu...
CPA Okw katika ubora wake, ila ni Nov 22 - October 23.Mtandao wa International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) umetoka taarifa ya takwimu za vilabu bora Duniani kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Septemba 1 2022 hadi Agosti 31 2023.
Upande wa AFRIKA unaonyesha klabu ya YANGA ya Tanzania inashika nafasi ya 3 nyuma ya vilabu vya Ahly ya Misri na Wydad ya Morocco. Huku wababe wa Msimbazi SIMBA SC wakiangukia nafasi ya 12.
Yanga msimu uliopita ilicheza fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF na kupoteza kwa klabu ya USM ALGER ya Algeria , Mabingwa hao wa CAFCC wanashika nafasi ya 10 kwenye orodha hiyo. Mabingwa wa African Football League Mamelodi Sundown ya Afrika Kusini wako nafasi ya 5 baada ya Pyramid ya Misri huku nafasi ya 6 ikienda kwa FAR RABAT, Raja CA iko nafasi ya 7, Zamalek ya Misri 8 na CR BELOUZIDAD ikiwa ya 9
Mtandao wa IFFHS umekuwa maarufu sana Tanzania kwa siku za karibuni na kujizolea sifa miongoni mwa mashabiki wa soka kwa namna wanavyoziona klabu zao zikipepea nafasi za juu kwenye takwimu zao.
My Take
Nyuma Mbele Nyuma Mwiko πππ
Hiki hapa.Hivyo vigezo vya kuipa Yanga nafasi ya tatu kwa ubora wa Africa ni vya huko Tandale au Buza kwa Mpalange!Kwa kipi hadi Yanga iwe ya tatu kwa ubora Africa?
Hahahahaha ,acha tu nichekeMtandao wa International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) umetoka taarifa ya takwimu za vilabu bora Duniani kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Septemba 1 2022 hadi Agosti 31 2023.
Upande wa AFRIKA unaonyesha klabu ya YANGA ya Tanzania inashika nafasi ya 3 nyuma ya vilabu vya Ahly ya Misri na Wydad ya Morocco. Huku wababe wa Msimbazi SIMBA SC wakiangukia nafasi ya 12.
Yanga msimu uliopita ilicheza fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF na kupoteza kwa klabu ya USM ALGER ya Algeria , Mabingwa hao wa CAFCC wanashika nafasi ya 10 kwenye orodha hiyo. Mabingwa wa African Football League Mamelodi Sundown ya Afrika Kusini wako nafasi ya 5 baada ya Pyramid ya Misri huku nafasi ya 6 ikienda kwa FAR RABAT, Raja CA iko nafasi ya 7, Zamalek ya Misri 8 na CR BELOUZIDAD ikiwa ya 9
Mtandao wa IFFHS umekuwa maarufu sana Tanzania kwa siku za karibuni na kujizolea sifa miongoni mwa mashabiki wa soka kwa namna wanavyoziona klabu zao zikipepea nafasi za juu kwenye takwimu zao.
My Take
Nyuma Mbele Nyuma Mwiko πππ
Mtandao wa International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) umetoka taarifa ya takwimu za vilabu bora Duniani kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Septemba 1 2022 hadi Agosti 31 2023.
Upande wa AFRIKA unaonyesha klabu ya YANGA ya Tanzania inashika nafasi ya 3 nyuma ya vilabu vya Ahly ya Misri na Wydad ya Morocco. Huku wababe wa Msimbazi SIMBA SC wakiangukia nafasi ya 12.
Yanga msimu uliopita ilicheza fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF na kupoteza kwa klabu ya USM ALGER ya Algeria , Mabingwa hao wa CAFCC wanashika nafasi ya 10 kwenye orodha hiyo. Mabingwa wa African Football League Mamelodi Sundown ya Afrika Kusini wako nafasi ya 5 baada ya Pyramid ya Misri huku nafasi ya 6 ikienda kwa FAR RABAT, Raja CA iko nafasi ya 7, Zamalek ya Misri 8 na CR BELOUZIDAD ikiwa ya 9
Mtandao wa IFFHS umekuwa maarufu sana Tanzania kwa siku za karibuni na kujizolea sifa miongoni mwa mashabiki wa soka kwa namna wanavyoziona klabu zao zikipepea nafasi za juu kwenye takwimu zao.
My Take
Nyuma Mbele Nyuma Mwiko πππ
Belgium ilishika nafasi ya kwanza ya rank za FIFA wakati haikuingia hata fainali za world cup au kuchukua kombe la EURO.Timu iliyochukua Kombe la Shirikisho hata kumi bora haipo? Endeleeni kuwahonga hawa watoa takwimu,nimeomba Linki hakuna
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO, rekebishaAcha ushakumbega kama unataka kujoini wananchi njoo tukufunze kwanza mkia wewe
MBELE DAIMA NYUMA MWIKO siyo uloandika wewe
Kundi lake kubwa kipo YangaHakuna watu au jamiii ya wajinga kama watanzania , bora hata uchanganye uraia
Nasomaga humu wanasema Yanga wenye akili ni wawili, na wale wengine ni mbumbumbu ,sasa sijajua kama wote ni mbumbumbu au la ?/Kundi lake kubwa kipo Yanga