Yanga yashika nafasi ya 3 Afrika, yazipiku Mamelod na Bigwa US Algers

Nashangaa hapo
Hizi siyo rank zinazoangalia shindano moja pekee, ukitaka rank za shindano moja utazipata katika shirikisho la soka Africa (CAF) ambapo utakutana na CAF 5 years ranking. Hii ni rank inayohusisha mashindano yote kwa ujumla ambayo yanatambulika na FIFA (ligi kuu, FA cup, na mashindano ya kimataifa)

Yanga ukichukukua idadi ya michezo aliyoshinda, idadi ya clean sheet na idadi ya magoli ya kufungwa na kufunga katika mashindano yote aliyoshiriki ana muacha mbali sana huyo USM Alger.
 

Mbumbu fc
Makolo fc
Tatu malogo fc
Karia fc... Mpaka msemee.. haya ibishien CAF
 
Top 5 kwenye mchujo Hadi Sasa

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1725468522279567498?t=gxNv172gF7rU3WCpH-6c6Q&s=19
 
Mwaka gani?

Position of the men's national soccer team from Belgium in the FIFA World Ranking from 1993 to 2021​


YearFIFA World Ranking
20211
20201
20191
20181
20175
20165
20151
20144
201311
201221
201141
201057
200966
 
Kama na hili haulijui japo ni la miaka michace tu iliyopita utakuwa umeanza kufuatilia soka punde tu!
Nimempa link ataona imeshika namba 1 kwa miaka minne(4) mfululizo na Kuna mwaka mwingine kabla ilishika namba 1, jumla mara 5 kwa miaka ya karibuni.
 
Sijaamini kama huu uzi umetoka kwako πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Hongera kwa hilo mtani. Ila hapo ulivyomalizia, Nadhani unahitaji mkono mmoja mwingine πŸ– ukae sawa zaidi πŸ˜€
 
Kuna mtu ka-hack account yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…