Ukiweza fungua hii link,Bangala na Djuma walisha kabizi barua kwa Yanga wanataka kuvunja mkataba,japo Yanga hawaja confirm ila thread zipo humu JF na Wasafi washawahi kuongea na Yanga kutoku confirm wamekaa kimya wana maana yao sababu wanajua mchezaji ndiye anayetakiwa kuwalipa.
Halafu brother ukishakuwa na mkataba na timu,club ndio yenye maamuzi either ikuuze au ikutoe kwa mkopo au ukae benchi na kuhusu Yanga kutaka kuwatoa kwa mkopo hizo habari siku zisikia ,Yanga sasa hivi kwakuwa wachezaji ndio waliotaka kuvunja mkataba basi Yanga wanadai hela yao.
Haifunguki ila angalia hii halafu nia ambie Yanga kosa lao lipo,wapi ila kama unata ushabiki nnya sawa.
Ila umekiona alicho ongea Edo and I hope umekielewa.Mchezaji hana uwezo wa kugomea kupelekwa kwa mkopo, uwezo huo hana.View attachment 2700100
Hapa je bado haifunguki? Nimeweka video yenyewe badala ya link. Unaweza uka click hivyo vidoti vitatu ukai download kabisa ili uiangalie vizuri.
Kwa hiyo hakuna kesi iliyofunguliwa? Edo si ni kama wewe tu, siyo mamlaka au chombo official, ni mchambuzi.Msikilize Edo.
Yanga wamewapa wanachotaka so sada hivi wana subiria hela.
Kuna sehemu nimekata hamna kesi?Kwa hiyo hakuna kesi iliyofunguliwa? Edo si ni kama wewe tu, siyo mamlaka au chombo official, ni mchambuzi.
Kama kesi ipo tusubiri, mwishoni janja janja atajulikana tuKuna sehemu nimekata hamna kesi?
Ile ni taarifa, unaisikia kupitia chombo official cha habari na inathibitishwa na mamlaka husika, ndo maana nikauliza hamna kesi TFF?Sasa Edo akiwa kama mm basi kutakuwa hamna haja ya kusikiliza hata habari za michezo
Punguza makasiriko.au ww habari ya kwamba Yanga wamefuguliwa kesi umeletewa barua nyumbani kwako.
Edo ni mchambuzi wa michezo, katika uchambuzi, mawazo na maoni binafsi huingizwa.Edo anacho kiongea kina wakilisha Wasafi, au may be kwako Wasafi sio chombo official.
Sasa nani kakasirika mbona unajishtukia kama unaoga nje?Kama kesi ipo tusubiri, mwishoni janja janja atajulikana tu
Ile ni taarifa, unaisikia kupitia chombo official cha habari na inathibitishwa na mamlaka husika, ndo maana nikauliza hamna kesi TFF?
Punguza makasiriko.
Edo ni mchambuzi wa michezo, katika uchambuzi, mawazo na maoni binafsi huingizwa.
Haya ni makasiriko. Misemo misemo iliyo nje ya mada.Sasa nani kakasirika mbona unajishtukia kama unaoga nje?
Suala siyo Edo, suala ni kuna kesi au hakuna kesi? Kama kuna kesi Edo si mhitimishaji ndo maana nakwambia janja janja atajulikana, subiri. Kwani tatizo lako ni nini haswa? Mbona umeng'ang'ana sana na Edo?Edo ni mchambuzi, ila habari ameitoa akiwa ndani ya chombo cha habari na si kijiweni.Ndio maana kama mwandishi wa habari akisema uwongo basi chombo cha habari kitawajibika, ila angekuwa kasema kijiweni ningekuwa na wasiwasi.
Mtangazaji ndo anahitimisha kesi zilizofunguliwa kwenye mamlaka husika?Na habari kuisikia kwenye chombo husika mara nyingi imethibitishwa na sometimes si habari zote mamlaka zinathibitisha, mtangazaji anaweza akawa na sources yake ya siri ndani ya hiyo mamlaka.
Una kipaji unakubali vipi kusajiliwa Yanga? Kwani wachezaji huwa hawaangalii credibility ya team?
Hii sio timu ni genge la wahuni
Mbona unapayuka,Edo sehemu gani kahitimisha?Haya ni makasiriko. Misemo misemo iliyo nje ya mada.
Suala siyo Edo, suala ni kuna kesi au hakuna kesi? Kama kuna kesi Edo si mhitimishaji ndo maana nakwambia janja janja atajulikana, subiri. Kwani tatizo lako ni nini haswa? Mbona umeng'ang'ana sana na Edo?
Mtangazaji ndo anahitimisha kesi zilizofunguliwa kwenye mamlaka husika?
Kwani msingi wa hoja yako ni nini? Maana tangu mwanzo nakuambia tusubiri janja janja atajulikana tu baada ya kesi ila ni kama kuna hoja unaipigania wakati hata kesi haijasikilizwa.
Walikuopoa hawakukulipaMm ni YANGA ila viongozi wa YANGA ni MATAPELI
Sasa ulimleta awe mada wa nini?Mbona unapayuka,Edo sehemu gani kahitimisha?
Nilishakujibu kuwa tatizo linaweza kuwa si hilo, labda kiwango Yanga wanachohitaji hakilingani na thamani ya mkataba na nikahitimisha tusubiri mwisho wa kesi janja janja atajulikana. Wewe ukamleta Edo awe mada."Kwani msingi wa hoja yako ni nini? Maana tangu mwanzo nakuambia tusubiri janja janja atajulikana tu baada ya kesi ila ni kama kuna hoja unaipigania wakati hata kesi haijasikilizwa."
Kasome comment yangu no tatu kama unamajibu yake ,unaweza kunipa.
Sijamleta nili jaribu kuhoji na kuwa na mada ndani ya mada endapo mada hizo zinaenda sambamba sio kibaya.Sasa ulimleta awe mada wa nini?
Nilishakujibu kuwa tatizo linaweza kuwa si hilo, labda kiwango Yanga wanachohitaji hakilingani na thamani ya mkataba na nikahitimisha tusubiri mwisho wa kesi janja janja atajulikana. Wewe ukamleta Edo awe mada.
Okey bossSijamleta nili jaribu kuhoji na kuwa na mada ndani ya mada endapo mada hizo zinaenda sambamba sio kibaya.
Mm sitaki kudhani. Nataka nikie msingi wa kesi na kwanini wameshindwana na mchezaji anataka TFF ifanye nini. Hapo ndo nitajua nani janja janja.Ww unavyozani Yanga may be walitaka kiasi gani?
OK 👍 ngoja tusubiri.Okey boss
Mm sitaki kudhani. Nataka nikie msingi wa kesi na kwanini wameshindwana na mchezaji anataka TFF ifanye nini. Hapo ndo nitajua nani janja janja.