Yanga yashtakiwa tena TFF

Yanga yashtakiwa tena TFF

Bangala na Djuma walisha kabizi barua kwa Yanga wanataka kuvunja mkataba,japo Yanga hawaja confirm ila thread zipo humu JF na Wasafi washawahi kuongea na Yanga kutoku confirm wamekaa kimya wana maana yao sababu wanajua mchezaji ndiye anayetakiwa kuwalipa.

Halafu brother ukishakuwa na mkataba na timu,club ndio yenye maamuzi either ikuuze au ikutoe kwa mkopo au ukae benchi na kuhusu Yanga kutaka kuwatoa kwa mkopo hizo habari siku zisikia ,Yanga sasa hivi kwakuwa wachezaji ndio waliotaka kuvunja mkataba basi Yanga wanadai hela yao.
Ukiweza fungua hii link,

Mbona kambole,doumbia na bigirimana wako kwa mkopo timu zingine wao nani wakatae kupelekwa kwa mkopo while kwenye mikataba yao kuna kipengele cha kutolewa kwa mkopo
 
Haifunguki ila angalia hii halafu nia ambie Yanga kosa lao lipo,wapi ila kama unata ushabiki nnya sawa.

Hapa je bado haifunguki? Nimeweka video yenyewe badala ya link. Unaweza uka click hivyo vidoti vitatu ukai download kabisa ili uiangalie vizuri.
 
View attachment 2700100
Hapa je bado haifunguki? Nimeweka video yenyewe badala ya link. Unaweza uka click hivyo vidoti vitatu ukai download kabisa ili uiangalie vizuri.
Ila umekiona alicho ongea Edo and I hope umekielewa.Mchezaji hana uwezo wa kugomea kupelekwa kwa mkopo, uwezo huo hana.
 
Msikilize Edo.

Yanga wamewapa wanachotaka so sada hivi wana subiria hela.

Kwa hiyo hakuna kesi iliyofunguliwa? Edo si ni kama wewe tu, siyo mamlaka au chombo official, ni mchambuzi.
 
Kuna sehemu nimekata hamna kesi?

Sasa Edo akiwa kama mm basi kutakuwa hamna haja ya kusikiliza hata habari za michezo au ww habari ya kwamba Yanga wamefuguliwa kesi umeletewa barua nyumbani kwako.

Edo anacho kiongea kina wakilisha Wasafi, au may be kwako Wasafi sio chombo official.
 
Kuna sehemu nimekata hamna kesi?
Kama kesi ipo tusubiri, mwishoni janja janja atajulikana tu
Sasa Edo akiwa kama mm basi kutakuwa hamna haja ya kusikiliza hata habari za michezo
Ile ni taarifa, unaisikia kupitia chombo official cha habari na inathibitishwa na mamlaka husika, ndo maana nikauliza hamna kesi TFF?
au ww habari ya kwamba Yanga wamefuguliwa kesi umeletewa barua nyumbani kwako.
Punguza makasiriko.
Edo anacho kiongea kina wakilisha Wasafi, au may be kwako Wasafi sio chombo official.
Edo ni mchambuzi wa michezo, katika uchambuzi, mawazo na maoni binafsi huingizwa.
 
Kama kesi ipo tusubiri, mwishoni janja janja atajulikana tu

Ile ni taarifa, unaisikia kupitia chombo official cha habari na inathibitishwa na mamlaka husika, ndo maana nikauliza hamna kesi TFF?

Punguza makasiriko.

Edo ni mchambuzi wa michezo, katika uchambuzi, mawazo na maoni binafsi huingizwa.
Sasa nani kakasirika mbona unajishtukia kama unaoga nje?

Edo ni mchambuzi, ila habari ameitoa akiwa ndani ya chombo cha habari na si kijiweni.Ndio maana kama mwandishi wa habari akisema uwongo basi chombo cha habari kitawajibika, ila angekuwa kasema kijiweni ningekuwa na wasiwasi.

Na habari kuisikia kwenye chombo husika mara nyingi imethibitishwa na sometimes si habari zote mamlaka zinathibitisha, mtangazaji anaweza akawa na sources yake ya siri ndani ya hiyo mamlaka.
 
Haya ni makasiriko. Misemo misemo iliyo nje ya mada.

Suala siyo Edo, suala ni kuna kesi au hakuna kesi? Kama kuna kesi Edo si mhitimishaji ndo maana nakwambia janja janja atajulikana, subiri. Kwani tatizo lako ni nini haswa? Mbona umeng'ang'ana sana na Edo?

Mtangazaji ndo anahitimisha kesi zilizofunguliwa kwenye mamlaka husika?

Kwani msingi wa hoja yako ni nini? Maana tangu mwanzo nakuambia tusubiri janja janja atajulikana tu baada ya kesi ila ni kama kuna hoja unaipigania wakati hata kesi haijasikilizwa.
 
Mbona unapayuka,Edo sehemu gani kahitimisha?

"Kwani msingi wa hoja yako ni nini? Maana tangu mwanzo nakuambia tusubiri janja janja atajulikana tu baada ya kesi ila ni kama kuna hoja unaipigania wakati hata kesi haijasikilizwa."

Kasome comment yangu no tatu kama unamajibu yake ,unaweza kunipa.
 
Sasa ulimleta awe mada wa nini?

Nilishakujibu kuwa tatizo linaweza kuwa si hilo, labda kiwango Yanga wanachohitaji hakilingani na thamani ya mkataba na nikahitimisha tusubiri mwisho wa kesi janja janja atajulikana. Wewe ukamleta Edo awe mada.
 
Sijamleta nili jaribu kuhoji na kuwa na mada ndani ya mada endapo mada hizo zinaenda sambamba sio kibaya.

Ww unavyozani Yanga may be walitaka kiasi gani?
 
Okey boss

Mm sitaki kudhani. Nataka nikie msingi wa kesi na kwanini wameshindwana na mchezaji anataka TFF ifanye nini. Hapo ndo nitajua nani janja janja.
 
OK 👍 ngoja tusubiri.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom