Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Ukiweza fungua hii link,Bangala na Djuma walisha kabizi barua kwa Yanga wanataka kuvunja mkataba,japo Yanga hawaja confirm ila thread zipo humu JF na Wasafi washawahi kuongea na Yanga kutoku confirm wamekaa kimya wana maana yao sababu wanajua mchezaji ndiye anayetakiwa kuwalipa.
Halafu brother ukishakuwa na mkataba na timu,club ndio yenye maamuzi either ikuuze au ikutoe kwa mkopo au ukae benchi na kuhusu Yanga kutaka kuwatoa kwa mkopo hizo habari siku zisikia ,Yanga sasa hivi kwakuwa wachezaji ndio waliotaka kuvunja mkataba basi Yanga wanadai hela yao.