Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaah wapo sahihi kabisa wananchi ratiba yao haipo rafiki hivyo kwa vyovyote hawezi kukaa mpk mwisho wa wiki kule Morroco kama watani wao ambao ratiba yao ipo rafiki sana kwani wao mashindano yao yaanza mwezi wa tisa mwishoni kabisa na ndio maana hata simba day wamesogeza mbele kutoka na urafiki huo wa ratibaMakamu Mwenyekiti wa kamati ya Mashindano wa klabu ya Yanga Sc Eng Hersi Said amethibitisha kuwa timu hiyo imesitisha kambi nchini Morocco ๐ฒ๐ฆ na sasa itarejea nchini kwa mafungu mawili tayari kwa kumalizia maandalizi ya msimu mpya kabla ya kuanza msimu rasmi
Eng amesema sababu za kuvunja kambi hiyo ni timu kumeguka kutokana na wachezaji nane kuitwa timu zao za Taifa lakini pia ukaribu wa mechi zao ikiwemo ile ya Siku ya Mwananchi pamoja na mechi ya kwanza ya Kimataifa ambazo zote zitapigwa jijini Dar Es Salaam
Hersi ameongeza kuwa hali ya joto ya Morocco ni kubwa sana tofauti na ya jiji la Dar Es Salaam hivyo kwasasa ni wakati sahihi kwa wachezaji wao kuzoea hali ya joto la nyumbani kuelekea kwenye mchezo wa kwanza wa Kimataifa
Chanzo: Mwanaspoti
Tatizo nikurud mafungu mafungu hapa ndo wasi wasi unazid inatufanye tuamin mpunga umekata afu machezaji walingwazwa week 3 zilizo pita kama mantiki hiyo kulikua na haja gani ya kwenda kuweka kambi siku5 si bora mgebaki bongo tu
Kama ndio ivyo mbumbumbu wewe na yanga,kati ya izo sababu ipi ambayo ilikuja gafla baada ya kufika Morocco ?Mbumbumbu wengi hawana reasoning
1.Kilele cha wiki ya mwananchi ni tar.29/8/2021 na leo ni ni tar. 23,kwa hesabu hapo zimebaki siku sita mpaka siku hiyo kufika na timu ipo Morroco na safari yake inachukua siku mbili mpaka kufika Dar es Salaam, kwahyo hapo zinabaki siku nne pia kuna uchovu wa safari na kuendelea na mazoezi kwa ajili ya mtanange wa wiki hiyo ya mwananchi
Tupo mule mule tu.
Wachezaji wanatakiwa timu ya Taifa
1.Kabwili
2.Feisal
3.Mauya
4.Job
5.Mwamnyeto
6.Yacouba
7.Mokoko Tonombe
8.Djagui Diarra
Kimsingi hapo kwa tuliosomea coaching hasa ukiwa kambi ya maandalizi ya msimu bila kuwa key players wako, hapo huwa tunahesabu hakuna maana ya kuwa na kambi hiyo, automatically kuna mbinu ulikuwa uzitoe lakini utashindwa kutokana na kukosekana kwa baadhi ya wachezaji wako muhimu
Na isitoshe wiki ya mwananchi ipo ukingoni sina shaka kumuelewa Coach Nabi na Eng. Hersi said
Haya yote hayakujulikana before?TUNARUDI KUJIANDAA NA SIKU YA WALANANCHI SASA.
Siku ya Mwananchi ni tar 29 sasa mnataka tuendelee kukaa. Kule turudi lini ?
Hapa katika kuna kutambulisha jezi mpya za wananchi ambao inabidi ufanyike Dar es Salaam na mzigo wa jezi kali sana kutoka Turkey umefika jijini tayari
Mazoezi ya timu baada ya uchovu wa safari ya siku mbili kutoka Morroco kujiandaa na mechi ya siku ya mwananchi.
Ebu tupeni laana ya UMBUMBUMBU mliyopewa na Aden Rage kwani ndio inayo athiri maisha yenu
Timu ya Taifa imeitwa katikati na tena ni juzi kati wakati timu za Taifa zipo kambini nchini Morroco na sisi tu ni nchi zote za Africa katika kufuzu kombe la duniaKama ndio ivyo mbumbumbu wewe na yanga,kati ya izo sababu ipi ambayo ilikuja gafla baada ya kufika Morocco ?
Acha kujitariji wewe na hekaya ndefu ambazo hazina maana. Ratiba ya Timu ya Taifa, pamoja na Yanga Day ilifahamika kabla ya Yanga kwenye Morocco.Hata huku kwa watani kinachowapa nguvu ni kwamba mechi zao za kimataifa zitaanza mwezi wa 10 na mechi yao ya kwanza kimashindano itakuwa itakuwa September mwishoni kabisa ikiwa ni ya Ngao ya hisani wakicheza na wapinzani wao Yanga, hivyo wana faida kubwa kimaandalizi
Na ndio maana hata simba day wamesogeza mbele na hii ni kutokana na urafiki wa ratiba walio nayo na hilo halina shaka
Hii ni tofauti kwa watani wao Yanga ambapo kabla ya kukutana kwenye ngao ya hisani watakuwa wamesha cheza almost mechi mbili tena za kimataifa tena zenye kuamua hatima hatma yao kwenye yao kwenye CAF Champions league
Hivyo basi kama usipokuwa mbumbumbu utakuwa unaelewa nini Yanga wanakifanya
Timu ya taifa mkuu imeitwa katikati wakati tayari timu zipo kambini nchini Morroco na hata bila timu ya taifa siku ya mwananchi ipo tar 29 na timu ilipanga kutoka kule tar 25. Na maandalizi mengine yaendelee
Wanaondoka kwa mafungu coz wanaanza walioitwa timu ya Taifa kwanza ili wawahi kambi ya timu ya taifa inayoanza kesho na kundi lingine ndo hilo litaondoka baadae kwa ajili ya wiki ya mwananchiAcha kujitariji wewe na hekaya ndefu ambazo hazina maana. Ratiba ya Timu ya Taifa, pamoja na Yanga Day ilifahamika kabla ya Yanga kwenye Morocco.
Kama ni sababu ni hizo kwanini sasa timu unarudi kwa mafungu, ambapo la kwanza linaondoka leo na lingine litaondoka tarehe 27 kurudi Dar.
Je hawa wengine wa mwisho kurudi Maandalizi hayawahusu? Hapa Ofa imekwisha.
bro naomba nikuulize swali inaamana Kuna baadhi ya wachezaji hawatokuwepo sehemu ya wiki ya wananchi tarehe 29??Wanaondoka kwa mafungu coz wanaanza walioitwa timu ya Taifa kwanza ili wawahi kambi ya timu ya taifa inayoanza kesho na kundi lingine ndo hilo litaondoka baadae kwa ajili ya wiki ya mwananchi
Ok, siku ya mwananchi ni tar 29, mnataka tukae huko mpk lini labda?
Aitoe wap? Ndio mana LUC aliwaita mbwa hao
1) Eti sababu wachezaji kama nane wataitwa kwenye nchi zao kwa michezo ya kimataifa hivyo timu itameguka
2) Eti sababu kule kambi iliko joto Sana.
3) Eti tuna mechi wiki ya mwananchi na wale wanigeria pia.
My take:::
Waseme tu pesa imekata.
kwani walipoenda au kupanga kwenda huko hayo mambo hawakuya consider?!
Jiisiiem mbona mnawatapeli uto jamani. Wameshaanza kushindwa kabla ya kushindana!
Mkuu umesema kuwa wanawahi kwa ajili ya maandalizi ya mwananchi day na ili wapate kupumzika kabla ya tarehe 29, vipi kuhusu wanaorudi tarehe 27 wao hawahusiki na mwananchi day, au wao mapumziko ya uchovu wa safari kabla ya mwananchi day sio ishu kwaoWanaondoka kwa mafungu coz wanaanza walioitwa timu ya Taifa kwanza ili wawahi kambi ya timu ya taifa inayoanza kesho na kundi lingine ndo hilo litaondoka baadae kwa ajili ya wiki ya mwananchi
Ok, siku ya mwananchi ni tar 29, mnataka tukae huko mpk lini labda?
Kwa akili yko mwenyewe unahic umetoa hoja. Ndio mana LUC aliwaita mbwa na NGURUWEMbumbumbu wengi hawana reasoning
1.Kilele cha wiki ya mwananchi ni tar.29/8/2021 na leo ni ni tar. 23,kwa hesabu hapo zimebaki siku sita mpaka siku hiyo kufika na timu ipo Morroco na safari yake inachukua siku mbili mpaka kufika Dar es Salaam, kwahyo hapo zinabaki siku nne pia kuna uchovu wa safari na kuendelea na mazoezi kwa ajili ya mtanange wa wiki hiyo ya mwananchi
Tupo mule mule tu.
Wachezaji wanatakiwa timu ya Taifa
1.Kabwili
2.Feisal
3.Mauya
4.Job
5.Mwamnyeto
6.Yacouba
7.Mokoko Tonombe
8.Djagui Diarra
Kimsingi hapo kwa tuliosomea coaching hasa ukiwa kambi ya maandalizi ya msimu bila kuwa key players wako, hapo huwa tunahesabu hakuna maana ya kuwa na kambi hiyo, automatically kuna mbinu ulikuwa uzitoe lakini utashindwa kutokana na kukosekana kwa baadhi ya wachezaji wako muhimu
Na isitoshe wiki ya mwananchi ipo ukingoni sina shaka kumuelewa Coach Nabi na Eng. Hersi said
Akikujibu ni tagMkuu umesema kuwa wanawahi kwa ajili ya maandalizi ya mwananchi day na ili wapate kupumzika kabla ya tarehe 29, vipi kuhusu wanaorudi tarehe 27 wao hawahusiki na mwananchi day, au wao mapumziko ya uchovu wa safari kabla ya mwananchi day sio ishu kwao
Hoja hujibiwa na hojaKwa akili yko mwenyewe unahic umetoa hoja. Ndio mana LUC aliwaita mbwa na NGURUWE
Hapo hesabu zipo vizuri tu mkuu, tar 27 jioni msafara unatoka Morroco na kufika Dubai na tar 28 mapema tu timu inakuwa Imefika kambini na jioni yake yatafanyika mazoezi ya viungo ili kuweka mwili sawa na tar 29 asubuhi yatafanyika mazoezi ya mwisho na jioni timu itaingia kwenye mechi coz sio mechi ya kimashindano ila ni mechi ya kuwatambulisha wachezaji wapya na muhimu katika hilo wote watakuwepoMkuu umesema kuwa wanawahi kwa ajili ya maandalizi ya mwananchi day na ili wapate kupumzika kabla ya tarehe 29, vipi kuhusu wanaorudi tarehe 27 wao hawahusiki na mwananchi day, au wao mapumziko ya uchovu wa safari kabla ya mwananchi day sio ishu kwao
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14] UmepanikiHoja hujibiwa na hoja
Mbumbumbu mkubwa ww