Nashukuru mkuu
Sorry lakini, kwa mantiki hiyo hakutakua na mapumziko, so hata ikitokea wakapata matokeo mabaya wasialumiwe wachezaji
Halafu ishu nyingine ni suala la joto, nimeona mwanaspoti wamemnukuu Eng. Hersi akisema kuwa kule kuna joto sana kuliko Dar, swali langu ni kuwa kabla hawajaenda kule walikua hawajafanya assessment kujua hali ya hewa ilivyo kule ku compare na Dar?
Na pia, kama kufanya mazoezi wameshindwa sababu ya joto, je ikitokea kwenye mechi za CL wakipangwa na mshindani kutokea Morocco na wakapangwa hapo hapo Marrakech watashindwa kucheza sababu ya joto?
Ahsante!!