Yanga yasitisha pre-season yao huko Morocco kurejea nchini kwa mafungu

Yaah wapo sahihi kabisa wananchi ratiba yao haipo rafiki hivyo kwa vyovyote hawezi kukaa mpk mwisho wa wiki kule Morroco kama watani wao ambao ratiba yao ipo rafiki sana kwani wao mashindano yao yaanza mwezi wa tisa mwishoni kabisa na ndio maana hata simba day wamesogeza mbele kutoka na urafiki huo wa ratiba

Tafadhali sana naomba msiendeleee kuishikilia laana ya UMBUMBUMBU kwenye vichwa na maisha yenu enyi vizazi vya Mo dewji
 
Kama ndio ivyo mbumbumbu wewe na yanga,kati ya izo sababu ipi ambayo ilikuja gafla baada ya kufika Morocco ?
 
TUNARUDI KUJIANDAA NA SIKU YA WALANANCHI SASA.

Siku ya Mwananchi ni tar 29 sasa mnataka tuendelee kukaa. Kule turudi lini ?

Hapa katika kuna kutambulisha jezi mpya za wananchi ambao inabidi ufanyike Dar es Salaam na mzigo wa jezi kali sana kutoka Turkey umefika jijini tayari

Mazoezi ya timu baada ya uchovu wa safari ya siku mbili kutoka Morroco kujiandaa na mechi ya siku ya mwananchi.

Ebu tupeni laana ya UMBUMBUMBU mliyopewa na Aden Rage kwani ndio inayo athiri maisha yenu
 
Haya yote hayakujulikana before?

Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
 
Kama ndio ivyo mbumbumbu wewe na yanga,kati ya izo sababu ipi ambayo ilikuja gafla baada ya kufika Morocco ?
Timu ya Taifa imeitwa katikati na tena ni juzi kati wakati timu za Taifa zipo kambini nchini Morroco na sisi tu ni nchi zote za Africa katika kufuzu kombe la dunia
 
Acha kujitariji wewe na hekaya ndefu ambazo hazina maana. Ratiba ya Timu ya Taifa, pamoja na Yanga Day ilifahamika kabla ya Yanga kwenye Morocco.

Kama ni sababu ni hizo kwanini sasa timu unarudi kwa mafungu, ambapo la kwanza linaondoka leo na lingine litaondoka tarehe 27 kurudi Dar.

Je hawa wengine wa mwisho kurudi Maandalizi hayawahusu? Hapa Ofa imekwisha.
 
Haya yote hayakujulikana before?

Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
Timu ya taifa mkuu imeitwa katikati wakati tayari timu zipo kambini nchini Morroco na hata bila timu ya taifa siku ya mwananchi ipo tar 29 na timu ilipanga kutoka kule tar 25. Na maandalizi mengine yaendelee
Hakuna la ajabu hapo Tupo mulemule
 
Wanaondoka kwa mafungu coz wanaanza walioitwa timu ya Taifa kwanza ili wawahi kambi ya timu ya taifa inayoanza kesho na kundi lingine ndo hilo litaondoka baadae kwa ajili ya wiki ya mwananchi

Ok, siku ya mwananchi ni tar 29, mnataka tukae huko mpk lini labda?
 
bro naomba nikuulize swali inaamana Kuna baadhi ya wachezaji hawatokuwepo sehemu ya wiki ya wananchi tarehe 29??
 
Yanga wanapenda kuigaiga vitu sana,Hawawezi kufanya vitu kutokana na hali halisi ya timu yao kufatafata mkumbo na kufanya vitu kwa kukurupuka mlidhani Morocco ni Morogoro [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14].
 


Swali moja tu kwa wana Utopolo.

Why Simba walipoenda kupiga kambi Morocco na wao wakaenda huko huko?

Hawajiamini?
 
Mkuu umesema kuwa wanawahi kwa ajili ya maandalizi ya mwananchi day na ili wapate kupumzika kabla ya tarehe 29, vipi kuhusu wanaorudi tarehe 27 wao hawahusiki na mwananchi day, au wao mapumziko ya uchovu wa safari kabla ya mwananchi day sio ishu kwao
 
Kwa akili yko mwenyewe unahic umetoa hoja. Ndio mana LUC aliwaita mbwa na NGURUWE
 
Mkuu umesema kuwa wanawahi kwa ajili ya maandalizi ya mwananchi day na ili wapate kupumzika kabla ya tarehe 29, vipi kuhusu wanaorudi tarehe 27 wao hawahusiki na mwananchi day, au wao mapumziko ya uchovu wa safari kabla ya mwananchi day sio ishu kwao
Hapo hesabu zipo vizuri tu mkuu, tar 27 jioni msafara unatoka Morroco na kufika Dubai na tar 28 mapema tu timu inakuwa Imefika kambini na jioni yake yatafanyika mazoezi ya viungo ili kuweka mwili sawa na tar 29 asubuhi yatafanyika mazoezi ya mwisho na jioni timu itaingia kwenye mechi coz sio mechi ya kimashindano ila ni mechi ya kuwatambulisha wachezaji wapya na muhimu katika hilo wote watakuwepo
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…