Yanga yasitisha pre-season yao huko Morocco kurejea nchini kwa mafungu

bro naomba nikuulize swali inaamana Kuna baadhi ya wachezaji hawatokuwepo sehemu ya wiki ya wananchi tarehe 29??
Yaaa hilo lipo wazi mkuu, coz match ya taifa stars ni tar 2 kama sio 3, kwahyo hii automatically ila wachezaji wengi wapya watakuwepo na kama sikosei wote watakuwepo pale taifa
 
Mtaongea mengi,lakini ile siku ya mwananchi tutawakata kilimilimi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hawanaga akili hawa vijana wa simba ni watu wa mpasho tu, watuache na timu yetu, tunajua tunachokifanya
 
Umenifurahisha sanaa yani,
waache mikia fc waendelee kubwabwaja
 
Wametoa sababu za kijinga sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].........Kwani wakiwatoa hao wachezaji 8 wa National team wanabaki wangapi???? Hawawezi kuendelea na kambi ???? Ni utopolo tu peke yao wenye wachezaji wanaocheza timu za taifa.
 
Kulikua na haja gani ya kwenda huko na ratiba Na ilihali ratiba haikua upande wenu au shobo tu

Siku utopolo mkiwa na mipango mikakati mizuri mtafikambali ila hili sion likitokea hivi karbuni
 
acha mat.henge ww...mpuuzi
Ukweli lazima usemwe utopolo mnazingia utafikil hatuja wapakata kwenda kimataifa nyie mgeweka kambi tu hata hapo bagamoyo on a sasa warabu wamewala kiboga hadi wachezaji 14 wana uviko-19
 
Nashukuru mkuu

Sorry lakini, kwa mantiki hiyo hakutakua na mapumziko, so hata ikitokea wakapata matokeo mabaya wasialumiwe wachezaji

Halafu ishu nyingine ni suala la joto, nimeona mwanaspoti wamemnukuu Eng. Hersi akisema kuwa kule kuna joto sana kuliko Dar, swali langu ni kuwa kabla hawajaenda kule walikua hawajafanya assessment kujua hali ya hewa ilivyo kule ku compare na Dar?

Na pia, kama kufanya mazoezi wameshindwa sababu ya joto, je ikitokea kwenye mechi za CL wakipangwa na mshindani kutokea Morocco na wakapangwa hapo hapo Marrakech watashindwa kucheza sababu ya joto?

Ahsante!!
 
Ukweli lazima usemwe utopolo mnazingia utafikil hatuja wapakata kwenda kimataifa nyie mgeweka kambi tu hata hapo bagamoyo on a sasa warabu wamewala kiboga hadi wachezaji 14 wana uviko-19
***** zako unatutafutia ban za kijinga
 
Unataka kusema uto kabla ya kwenda Morocco hamkuyajua hayo. Acha kutia aibu. Bora ungekaa kimya
 
Kulikua na haja gani ya kwenda huko na ratiba Na ilihali ratiba haikua upande wenu au shobo tu

Siku utopolo mkiwa na mipango mikakati mizuri mtafikambali ila hili sion likitokea hivi karbuni
Hahaha hawa jamaa ni mapimbi yaliyotukuka, yaani hiyo safari waliyoenda ni sawa na bure bora wangebaki wafanyie mazoezi hapahapa km muda haukuwa rafiki, hata wiki haijaisha hawa hapa wanarudi, timu ya magazeti hii
 
Mkuu unatengeneza hoja ambazo hazina mashiko,,
Wakati wanaelekea uko moroco hawakufanya home work yao vizuri kujua haya yote..
Means mna viongozi ambao hawana plan yeyote wanafanya maamuzi kutokana na kinachowatokea..
Team haina plan yeyote ina enda enda tu..
 
Hisani imekata teh teh teh
 
Hivi mkuu, kati ya kujiandaa na wiki ya mwananchi na kujiandaa dhidi ya mechi ya Rivers United kipi ni bora? Kwanini nguvu nyingi zitumike kwenye wiki ya mwananchi nasio maandalizi ya klabu bingwa?
 
Sasa ndo mlitakiwa muwe na mda wa kambi siyo kukimbia kimbia Kama watalii,Nye mna mechi za karibu mnaenda kambi Morocco na mnavunja kambi mapema ,baadaye mtaanza Tena kulia kwamba mnahujumiwa kumbe Nye wenyewe
 
Bora ukaitwa mbumbumbu kwa jina kuliko kua mbumbumbu kichwani. Ratiba ya FIFA na CAF zilikua zinajulikana. Hata sababu ya joto hayo ni wendazimu unaendaje sehemu za joto afu unakuja kusingizia joto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…