Yanga yasitisha pre-season yao huko Morocco kurejea nchini kwa mafungu

Mashabiki wa yanga wote uji uji tu.
Timu ilijua kuna wiki la mwananchi mlikuwa na sababu zipi za kwenda Morocco kama si tabia za kuiga kunya kwa tembo.

Halafu baadae muanze kulaumu TFF mara bodi ya ligi kuwa wanawaingilia kinyume na kauli mbiu yenu?
Rudia kusoma ulichoandika na utagundua kuwa wewe ni mbumbumbu mkubwa
 
Subirini mpigwe na Rivers halafu mulaumu TFF.Bora binadamu mbumbumbu kuliko kuwa na akili za nyani
Mbumbumbu at your own peak, mkuu mazingira sio mandhari tu, ila kuna mazingira ya kiakili, kimwili, kisaikolojia na mambo mengine mengi
 
Kambi huwa ni mkakati tu wa kuijenga timu kisaikolojia, unaweza ukakaa hata mwaka huko ila ukaja kwenye pitch ukafanya vibaya pia, rejea kambi za timu za Ulaya zikienda kuweka Marekani wanatumia muda gani kama sio wiki moja tu
Hao unaowatolea mfano si kama wanakaa kambi wiki hapana ila wao wanatembea mfano wik moja anakaa kambi Sydney ,anapga mechi ata moja baada ya apo anaenda sehem nyingine nako ivyo ivyo anapga game moja au mbil kambi inaweza kuchukua ata mwez lakin unakuta wanakaa sehem tofaut tofaut ,ww unatetea ila kishabik tu ukwel ata wenyewe walishapanga lengo wakakae kambi kuanzia siku 10 kwenda mbele aya yaliyotokea kuna shida tu sehem ukiniambia sababu ni siku ya wananchi au kuitwa wachezaji timu ya taifa ni sababu kwa sababu washaamua
 
Huyu mwenzetu ushabiki wake sio wa kutumia akili
 
Hujajibu swali langu la msingi haya yote hayakujulikana,,
1)Nini maana ya uongozi wa team..
2)hakuna ratiba maalum ya msimu kwa team mambo yanaenda enda tu
3) au ratiba ipo ila kuna watu wenye influence nje ya uongozi wanaendesha team kwa agenda zao tofaut na za viongozi..

Kubali ukatae yanga kuna tatizo kubwa la kiungozi wako dis organized kabisa na hawajui wanataka nini..
Kuna jambo la ajabu ambalo lishakua kama la kawaida bwana hersi kua ndo mzungumzaji mkuu wa team na planner wa kila kitu sidhani hata kama kina msola wanafurahia hili.
Hersi ni nan yanga na mamlaka ya kuongelea mambo ya yanga anayatoa wapi..
Hata kina mzee wangu msolla nikuambie sasa hawafurahi hili swala ila wakiongea wanaonekana hawaitaki yanga mazuri wanamkera mdhamini..
Hersi na gsm yake wamekua ni viongozi nje ya uongozi halali wa yanga na hapa ndo mambo yote yanapotinginywa..
 
Wewe una umia nini!?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Kuna sehem ambayo nimetumia lugha kama unayotumia ww labda na ww useme unalipa,kama hauna hoja ni bora ukae kimya tukianza lugha kali itakua hakuna faida ya kujadili jambo lolote kama unaweza kutumia lugha za utan sawa ila sio lugha kali au matusi

Mkuu unahangaika na huyu ana hasira tayari,mtu anaulizwa tena kwa lugha ya kistaarabu anakimbilia kutoa lugha yenye ukakasi na wakati huo anajiona yeye ni smart kuliko wengine.Hapa unamuuliza maswali magumu ambayo hana majibu,sishangai kuona anakimbilia kutukana.
 
Nchi hii watu wanaoenda sana umbea na kujadili mambo ya wengine bila sababu,mbumbumbu wa Rage buana
 
Mbumbumbu at your own peak, kambi nje ya nchi huwa ni ya kimkakati zaidi mkuu huwa hazichukui hata mwezi mmoja, angalia kambi za Ulaya hasa timu Ikitoka nje ya nchi yake

Wewe nae na kingereza chako cha kukalili! Jibu hoja za watu usituletee hapa ngonjera zako utadhani umegundua leo huo msemo wa “at your own peak” .Tunakuuliza ni nini hasa kilikupelekeni huko Morroco kama mlijua ratiba inawabana? Unaondoka hapa tar 17 unafika tar 19,unakaa siku 4 unavunja kambi,ukiulizwa unajibu ratiba inabana,wakati unafanya maamuzi ya kwenda huko,hukujua kama ratiba itabana?
 
Habari za hovyo kuwahi kutokea zisizo na uthibitisho wowote, sio taarifa rasmi

Ukiwa na smartphone unajikuta mwandishi wa habari
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa kweli ni nyani hii kauli nimeona umemulza mdau mmoja tena umeambatanisha na picha ukimulza kuwa team inarud leo hiyo tareh 27 yy kaitoa wap? Sasa na ww tujibu umeitoa wap hiyo tarehe 27?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…