Yanga yasitisha pre-season yao huko Morocco kurejea nchini kwa mafungu

[emoji1432]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa kweli ni nyani hii kauli nimeona umemulza mdau mmoja tena umeambanaisha na picha ukimulza kuwa team inarud leo hiyo tareh 27 yy kaitoa wap? Sasa na ww tujibu umeitoa wap hiyo tarehe 27?
[emoji23][emoji23][emoji23], yeye mwenyewe alikua hajaokota hiyo picha insta, sasa hivi wamempostia viongozi wake ndio ameamua kutamba nayo, wakati kiongozi wake Eng. Hersi amesema mwenyewe team itakuja kwa mafungu, leo wanaondola fungu la kwanza na siku chache zijazo, haijulikani lini litakuja fungu la pili
 
Mbumbumbu at your own peak, kambi nje ya nchi huwa ni ya kimkakati zaidi mkuu huwa hazichukui hata mwezi mmoja, angalia kambi za Ulaya hasa timu Ikitoka nje ya nchi yake
Unajitahidi kukaza taya ila unachokiomgea haina mantiki ,acheni kuiga iga kama uwezo wenu mdogo ,siyo mnakimbia kimbia tu ndo maana Lucy aliwaita nyani
 
Wengi wao wajinga ndo maana waliitwa mbumbumbu na Ismail Aden Rage coz Ishu iko wazi kabisa siku ya mwananchi ni tar 29, wanataka timu ikae huko mpaka lini sasa?
Ko nyie furaha yenu ni kufurahisha biashara ya GSM uku timu yenu ikiendelea kufanya viby?
Azam fc wenye akili wameona bora kusitisha Azam festival ili kujiandaa na mashindano. Afu nyie mnaongea utopolo wenu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa kweli ni nyani hii kauli nimeona umemulza mdau mmoja tena umeambatanisha na picha ukimulza kuwa team inarud leo hiyo tareh 27 yy kaitoa wap? Sasa na ww tujibu umeitoa wap hiyo tarehe 27?
Huyu ni kama chizi hajui hata anachokiongea
 
Duuuh!! Kwahiyo siku ya mwananchi ni muhimu sana kuliko maandalizi ya kiufundi kuelekea mechi za kimataifa?.
 
Timu kusafiri kwenye makundi inategemea na nafasi katika ndege Yanga na Simba wanategemea ndege za abiria wa kawaida. Ndege za abiria maranyingi zinakuwa na nafasi chache kwakua abiria walisha book zamani timu zikiomba nafasi zitapewa nafasi zilizo Baki
 
Ko nyie furaha yenu ni kufurahisha biashara ya GSM uku timu yenu ikiendelea kufanya viby?
Azam fc wenye akili wameona bora kusitisha Azam festival ili kujiandaa na mashindano. Afu nyie mnaongea utopolo wenu
Ww mbumbumbu Legeza misuli ya kichwa na matako ili uelewe
 
Unajitahidi kukaza taya ila unachokiomgea haina mantiki ,acheni kuiga iga kama uwezo wenu mdogo ,siyo mnakimbia kimbia tu ndo maana Lucy aliwaita nyani
Ww mbumbumbu Legeza misuli ya kichwa na matako ili uelewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa kweli ni nyani hii kauli nimeona umemulza mdau mmoja tena umeambatanisha na picha ukimulza kuwa team inarud leo hiyo tareh 27 yy kaitoa wap? Sasa na ww tujibu umeitoa wap hiyo tarehe 27?
Ww mbumbumbu Legeza misuli ya kichwa na matako ili uelewe
 
Timu ya Yanga Jumapili ya jana tumitimiza wiki moja kamili katika maandalizi ya msimu unaokuja katika mashindano ya kimataifa CAF champions league na ligi kuu Tanzania bara.
 
Utakuta hata naul ya kulipia wachezaj wote hawana[emoji23][emoji23]
 
Kama ndio ivyo mbumbumbu wewe na yanga,kati ya izo sababu ipi ambayo ilikuja gafla baada ya kufika Morocco ?
nami najiuliza ina maana haya hawayakuyaona kabla?

Tukisema hii timu inaendeshwa kihuni tunaonekana masnitch
 
Rudia kusoma ulichoandika na utagundua kuwa wewe ni mbumbumbu mkubwa
 
Hili swala lilikua calculated tangu mwanzo kwenye ratiba zenu kwamba mlijua situation hii tangu mda au by coincidence tu?
 
Kama pembeni na uendelee kujifunza soka, bado haujaiva mbumbumbu mkubwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…