Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,889
[emoji1432]Wananchi wanaanza safari leo kutoka Morroco, hiyo tar 27 ilikuwa ni tarehe iliyopangwa Kwa kumaliza kwa kambi na kuondoka huko. Sijui Umeelewa halafu kambi huwa sio mwezi mmoja au miwili mkuu, fuatilia kambi za timu za Ulaya hasa wakiweka kambi nje ya nchi zaoView attachment 1904560