Yanga yatangaza kumrudisha Benard Morrison

Protect

Senior Member
Joined
Apr 4, 2020
Posts
103
Reaction score
362
Haya ngoja tuone
20220703_235330.jpg

Mabingwa wa Tanzania Bara Dar Young Africans maarufu kama Yanga usiku huu wametangaza kumsajili tena mchezaji wao wa zamani Benard Morrison

Morrison alikuwa ni mchezaji wa Yanga kabla ya kuhamia kwa watani wao Simba SC
 
Mwana mpotevu karudi Nyumbani.

Natambua wengi watashangaa kuona umerudi nyumbani. Ila ulizaliwa ucheze mpira Yanga SC na sio klabu nyingine tena.

Roho ilikuwa ikiniuma nankububujikwa na machozi nilipoona ukimpigia magoti Eng Hersi ukimuomba nafasi ya pili.

Ila kwa bahati nzuri na kwa moyo mwepesi akakupa fursa ya mwisho kujiunga na mabingwa wapya wa CAFCL Kwa sharti la kuzingatia nidhani.

Kwa taarifa fupi Prof Nabi amekwisha pewa faili lako lote, hivyo anakutambua vyema kuliko unavyo dhani. Kuwa makini sana maana uko katika probation period ndio maana wamekupa mkataba mfupi sana.

Ukihenya kidogo tu wamepanga kukurudisha kwenu ghana.

Kazi kwako mdogo wangu.

Ila nini inakubidi upambane kidogo hapo maana wenzako wanakuchukulia kama mchezaji back up. [emoji23][emoji23]

Karibu tena nyumbani mwana mpotevu.

IMG_0550.jpg
 
Mabingwa wa Tanzania Bara Dar Young Africans maarufu kama Yanga usiku huu wametangaza kumsajili tena mchezaji wao wa zamani Bernald Morrison

Morrison alikuwa ni mchezaji wa Yanga kabla ya kuhamia kwa watani wao Simba SC
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukimtoa baba yangu na Mzee kikwete yanga wote ni kama hamnazo hivi mwisho wa kumnukuu haji manara
 
Mwana mpotevu karudi Nyumbani.

Natambua wengi watashangaa kuona umerudi nyumbani. Ila ulizaliwa ucheze mpira Yanga SC na sio klabu nyingine tena.

Roho ilikuwa ikiniuma nankububujikwa na machozi nilipoona ukimpigia magoti Eng Hersi ukimuomba nafasi ya pili.

Ila kwa bahati nzuri na kwa moyo mwepesi akakupa fursa ya mwisho kujiunga na mabingwa wapya wa CAFCL Kwa sharti la kuzingatia nidhani.

Kwa taarifa fupi Prof Nabi amekwisha pewa faili lako lote, hivyo anakutambua vyema kuliko unavyo dhani. Kuwa makini sana maana uko katika probation period ndio maana wamekupa mkataba mfupi sana.

Ukihenya kidogo tu wamepanga kukurudisha kwenu ghana.

Kazi kwako mdogo wangu.

Ila nini inakubidi upambane kidogo hapo maana wenzako wanakuchukulia kama mchezaji back up. [emoji23][emoji23]

Karibu tena nyumbani mwana mpotevu.

View attachment 2280343
Mwana mpotevu aliwafanya mkimbilie CAS, japo na huko mliishia kupigwa na kitu kizito utosini.
 
Back
Top Bottom