Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Mabingwa wa Tanzania Bara Dar Young Africans maarufu kama Yanga usiku huu wametangaza kumsajili tena mchezaji wao wa zamani Bernald Morrison
Morrison alikuwa ni mchezaji wa Yanga kabla ya kuhamia kwa watani wao Simba SC
Ukweli upi?Simba tumepoteza mchezaji mzuri sana.....ukweli utakuweka huru!!!!!
Mmmmmh
Huyu jamaa amejua Sana kucheza na hivi vilabu vya Kariakoo.Release Letter tutafungia maandaziView attachment 2280337
Ukimtoa baba yangu na Mzee kikwete yanga wote ni kama hamnazo hivi mwisho wa kumnukuu haji manara
Si mnamwita Wakili msomi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afadhari. Sasa roho yangu kwatuuuuuuh.
Tumeutua mzigo, woiiiiiiiiiiih.
Tumepoteza mchezaji mzuri sana kizembeUkweli upi ?
Mwana mpotevu aliwafanya mkimbilie CAS, japo na huko mliishia kupigwa na kitu kizito utosini.Mwana mpotevu karudi Nyumbani.
Natambua wengi watashangaa kuona umerudi nyumbani. Ila ulizaliwa ucheze mpira Yanga SC na sio klabu nyingine tena.
Roho ilikuwa ikiniuma nankububujikwa na machozi nilipoona ukimpigia magoti Eng Hersi ukimuomba nafasi ya pili.
Ila kwa bahati nzuri na kwa moyo mwepesi akakupa fursa ya mwisho kujiunga na mabingwa wapya wa CAFCL Kwa sharti la kuzingatia nidhani.
Kwa taarifa fupi Prof Nabi amekwisha pewa faili lako lote, hivyo anakutambua vyema kuliko unavyo dhani. Kuwa makini sana maana uko katika probation period ndio maana wamekupa mkataba mfupi sana.
Ukihenya kidogo tu wamepanga kukurudisha kwenu ghana.
Kazi kwako mdogo wangu.
Ila nini inakubidi upambane kidogo hapo maana wenzako wanakuchukulia kama mchezaji back up. [emoji23][emoji23]
Karibu tena nyumbani mwana mpotevu.
View attachment 2280343
hana maajabu.Release Letter tutafungia maandaziView attachment 2280337
Anachezea kipaji huyo Bm3Simba tumepoteza mchezaji mzuri sana.....ukweli utakuweka huru!!!!!